Nikiwa kama Mwanayanga ambaye naichukia sana Simba SC naomba kunzia sasa Kikosi cha Taifa kiwe kinapangwa hivi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Iwe ni katika Michezo ya Wachezaji wa ndani pekee (CHAN) au hata ile mingine Kocha awe anapanga hivi:

1.Juma Kaseja

2.Haruna Shamte

3.Gadiel Michael

4.Kelvin Yondan

5.Erasto Nyoni

6.Jonas Mkude

7.Miraji Athumani

8.Muzamir Yassin

9.Mbwana Samatta

10.Hassan Dilunga

11.Mohamed Hussein

Halafu Kipindi cha Pili awe anampumzisha Kelvin Yondan ( Mchezaji wetu Yanga SC ) kwakuwa si mzuri Kivile huku Kocha ajitajidi sana Kuwabakisha Wachezaji wote Nane wa Simba SC ( ambayo Siipendi ) waendelee Kucheza kwani japo nawachukia pamoja na Timu yao ila Kocha Etienne Ndayiragije, Juma Mgunda na Seleman Matola wakiwapanga wao Taifa Stars kila mara itakuwa inafanya vyema.

Na Kocha nae awe anapunguza au asiwe anapoteza muda wake kila mara Kuwaita Wachezaji wetu Yanga SC kwani Uwezo wao ni mdogo ukilinganisha na Uwezo wa Wachezaji Nane wa Simba SC walioitwa Taifa Stars ukilinganisha na Wetu Watano tu wa Yanga SC ambao wameitwa nahisi kwenda tu Kujaza nafasi na Kula Posho za bure za TFF.

Wenu mwana Yanga SC Mtiifu An Eagle.
 
Safi tu. Kwasababu hata angeitwa babu yako sitegemei positive changes kwa timu ya taifa. Japo umeongea kinafki Ila wachezaji wetu wangeachwa tuendelee kuitengeneza timu yetu si unajua sisi yanga tuna mechi nyingi za kimataifa mpaka mwakani..
 
Iwe ni katika Michezo ya Wachezaji wa ndani pekee (CHAN) au hata ile mingine Kocha awe anapanga hivi:

1.Juma Kaseja

2.Haruna Shamte

3.Gadiel Michael

4.Kelvin Yondan

5.Erasto Nyoni

6.Jonas Mkude

7.Miraji Athumani

8.Muzamir Yassin

9.Mbwana Samatta

10.Hassan Dilunga

11.Mohamed Hussein

Halafu Kipindi cha Pili awe anampumzisha Kelvin Yondan ( Mchezaji wetu Yanga SC ) kwakuwa si mzuri Kivile huku Kocha ajitajidi sana Kuwabakisha Wachezaji wote Nane wa Simba SC ( ambayo Siipendi ) waendelee Kucheza kwani japo nawachukia pamoja na Timu yao ila Kocha Etienne Ndayiragije, Juma Mgunda na Seleman Matola wakiwapanga wao Taifa Stars kila mara itakuwa inafanya vyema.

Na Kocha nae awe anapunguza au asiwe anapoteza muda wake kila mara Kuwaita Wachezaji wetu Yanga SC kwani Uwezo wao ni mdogo ukilinganisha na Uwezo wa Wachezaji Nane wa Simba SC walioitwa Taifa Stars ukilinganisha na Wetu Watano tu wa Yanga SC ambao wameitwa nahisi kwenda tu Kujaza nafasi na Kula Posho za bure za TFF.

Wenu mwana Yanga SC Mtiifu An Eagle.
Umbumbumbu aliwaletea Rage,na huu msongo wa mawazo kawaletea UD Songo.
 
Siku hizi unatoa pumba tupu, hamna kitu hapo.
 
Hapo umewasahau viungo hatari Mudathir na Sure Boy
 
Michuano ya Chan ampange samata?? Au sijaelewa
 
Back
Top Bottom