Nikiwa "maarufu - celebrity" nitafanya yafuatayo...

Haa haa bongo umarufu hauji bila skendo na ukiupata ni zigo la mwiba je upo tayari kulibeba !?
Mi napenda huo mkao wako...
sema utaforce sana kila mtu akujue ,utakua tayari kuwagongea hodi unamwambia unanijua?,money penny ndo nani lakini ?hahha
Wazo jema
Be blessed madam
Unajua bata mkulu alisema nikiwa raisi itakuwa hivi na vile Ila sasa jionee mwenyewe
Team ya IT & Computer Science
imefanyaje?

Kichaafulani Demiss Nalendwa Shunie

mje huku jamaa Money Penny unaonekana unajua mapenzi sana, alafu mtamu na you are such a nice Girl...
 
Unajua bata mkulu alisema nikiwa raisi itakuwa hivi na vile Ila sasa jionee mwenyewe

Haa haa bongo umarufu hauji bila skendo na ukiupata ni zigo la mwiba je upo tayari kulibeba !?

Mi napenda huo mkao wako...

sema utaforce sana kila mtu akujue ,utakua tayari kuwagongea hodi unamwambia unanijua?,money penny ndo nani lakini ?hahha

Be blessed madam

Be blessed madam

Unajua bata mkulu alisema nikiwa raisi itakuwa hivi na vile Ila sasa jionee mwenyewe

Team ya IT & Computer Science

Mje mnapitwaaa 90 Days Rule Bado Inatumika kwenye Mahusiano?!
 
Sasa hivibkwakuwa siyo Celebrity hausaidii jamii yako hata watu 20 tuu.
Loh! Roho mbaya hiyooo mpaka umaaruf ndio usaidie jamii
 
Back
Top Bottom