Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
-
- #21
Haa haa bongo umarufu hauji bila skendo na ukiupata ni zigo la mwiba je upo tayari kulibeba !?
Mi napenda huo mkao wako...
sema utaforce sana kila mtu akujue ,utakua tayari kuwagongea hodi unamwambia unanijua?,money penny ndo nani lakini ?hahha
Wazo jema
Be blessed madam
Unajua bata mkulu alisema nikiwa raisi itakuwa hivi na vile Ila sasa jionee mwenyewe
imefanyaje?Team ya IT & Computer Science
Kichaafulani Demiss Nalendwa Shunie
mje huku jamaa Money Penny unaonekana unajua mapenzi sana, alafu mtamu na you are such a nice Girl...