Nikiwa mdogo niliamini Mkataba wa Milele ni Ndoa ya Kikristo, nikaona Msekwa anaoa kwa Kibali cha Kanisa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Wengine walisema ni miaka 100

Mh. Mbowe akasema ni wa "Milele"

Tundu Lisu amesema Yeye hajaona palipoandikwa miaka 100

Ndio nikakumbuka kiapo cha Ndoa za Wagalatia "alichounganisha Mungu Binadamu asikitenganishe"

Sasa kuna mzee mmoja Visiwa vya Ukerewe alimuacha mkewe wa Ndoa na Kanisa hilo hilo Takatifu la Mitume likampa Kibali cha kuoa mke mwingine.

Milele ni nini?
 
Kanisa katoliki ukiwa na hela hata mbwa wako akifa ukiita askofu ama padri aje kumuombea aende mbinguni Padri ama askofu anakuja.

Masharti ya makanisa ni kwa watu masikini sio matajiri. Ndugu yangu ni kiongozi wa kwaya kanisani, kazaa na mke wa mtu kanisani na bado yeye na mke wa mtu wanaimba kwaya kanisani baada ya yule jamaa kumuacha yule mwanamke.
 
Hapa umechanganya mambo Kanisa katoliki halitengi mtu kwa style hiyo ,haliwezi kuzuia mtu kusali na hata kujiunga na chama cha kitume kama kwaya kwa kigezo cha kuzaa nje ya ndoa.Isipo kuwa hawezi kuchaguliwa kuwa kioongozi wala kupokea sakrament
 
“Bandari yetu ipo Salama kutoweka kikomo cha uhinafsishaji haimaanishi ni muda mrefu” Spika wa BUNGE
20230608_101702.jpg
 
Hapa umechanganya mambo Kanisa katoliki halitengi mtu kwa style hiyo ,haliwezi kuzuia mtu kusali na hata kujiunga na chama cha kitume kama kwaya kwa kigezo cha kuzaa nje ya ndoa.Isipo kuwa hawezi kuchaguliwa kuwa kioongozi wala kupokea sakrament
Hawezi kuchaguliwa wakati nakwambia ni kiongozi wa kanisani? Achaguliwe nini tena?
 
Nina uhakika kuungana ni hiari ya mtu na kuachana ni hiari pia na pia kuoa tena ni hiari ya mtu.
 
Wengine walisema ni miaka 100

Mh. Mbowe akasema ni wa "Milele"

Tundu Lisu amesema Yeye hajaona palipoandikwa miaka 100

Ndio nikakumbuka kiapo cha Ndoa za Wagalatia "alichounganisha Mungu Binadamu asikitenganishe"

Sasa kuna mzee mmoja Visiwa vya Ukerewe alimuacha mkewe wa Ndoa na Kanisa hilo hilo Takatifu la Mitume likampa Kibali cha kuoa mke mwingine.

Milele ni nini?
Mkuu milele haimanishi bila kukoma, ila muda mrefu wa kutosha-reasonable long time
hata ule moto tunadanganywa kuwa ni wa milele kwa maana ya kutokukoma, siyo kweli bali utawaka muda mrefu na matokeo yake yatakuwa ya kudumu
 
Wengine walisema ni miaka 100

Mh. Mbowe akasema ni wa "Milele"

Tundu Lisu amesema Yeye hajaona palipoandikwa miaka 100

Ndio nikakumbuka kiapo cha Ndoa za Wagalatia "alichounganisha Mungu Binadamu asikitenganishe"

Sasa kuna mzee mmoja Visiwa vya Ukerewe alimuacha mkewe wa Ndoa na Kanisa hilo hilo Takatifu la Mitume likampa Kibali cha kuoa mke mwingine.

Milele ni nini?
Milele ni isiyo na mwisho....infinity.

Mkataba wa DPW na URT unanikumbusha kisa cha Carl Peters na rafiki yake Ramzan aliyekuwa mkalimani kati ya Carl Peters na Mtukufu Mfalme Mangungo.

1. Mbarawa ni Ramzan wa sasa
2. Bi. Mkubwa yeye ni Carl Peters
3. Mtukufu Mfalme Manguno ni Watanganyika
 
Back
Top Bottom