Nikiwa mdogo niliamini Mkataba wa Milele ni Ndoa ya Kikristo, nikaona Msekwa anaoa kwa Kibali cha Kanisa!

Nikiwa mdogo niliamini Mkataba wa Milele ni Ndoa ya Kikristo, nikaona Msekwa anaoa kwa Kibali cha Kanisa!

Nakushangaa wewe mwanaume mzima kuwaza mikopo
Kijana ungekuwa na ubongo wa upembuzi wala usingeshangaa mimi kuzungumzia mikopo ya TULIA TRUST. 🤣🤣🙏

Narudia tena hatuwezi mpiga tunafaidika na mikopo yake.
 
Kosa kubwa la kiufundi ni mkataba huo kusainiwa na Wazanzibar pekee kisha hauhusu Bandari za Zanzibar.
 
Kosa kubwa la kiufundi ni mkataba huo kusainiwa na Wazanzibar pekee kisha hauhusu Bandari za Zanzibar.
Huu ni zaidi ya upendo wa agape, watu ambao ukienda Zanzibar wanakubagua na kukutenga kwa kila namna na kukuita kafiri leo wanakupendelea kwa kila namna.
Mtu akitaka akulishe sumu hakuwekei kwenye dagaa au mchicha, anakuwekea kwenye nyama
 
Wengine walisema ni miaka 100

Mh. Mbowe akasema ni wa "Milele"

Tundu Lisu amesema Yeye hajaona palipoandikwa miaka 100

Ndio nikakumbuka kiapo cha Ndoa za Wagalatia "alichounganisha Mungu Binadamu asikitenganishe"

Sasa kuna mzee mmoja Visiwa vya Ukerewe alimuacha mkewe wa Ndoa na Kanisa hilo hilo Takatifu la Mitume likampa Kibali cha kuoa mke mwingine.

Milele ni nini?
Waliompa kibali (Cha michongo) Ni mapadre alio wahonga.
Hata hivyo angemuoa yule mjane kwa ndoa ya kimila au kiserikali.
 
Back
Top Bottom