johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hapa umechanganya mambo Kanisa katoliki halitengi mtu kwa style hiyo ,haliwezi kuzuia mtu kusali na hata kujiunga na chama cha kitume kama kwaya kwa kigezo cha kuzaa nje ya ndoa.Isipo kuwa hawezi kuchaguliwa kuwa kioongozi wala kupokea sakramentKanisa katoliki ukiwa na hela hata mbwa wako akifa ukiita askofu ama padri aje kumuombea aende mbinguni Padri ama askofu anakuja.
Masharti ya makanisa ni kwa watu masikini sio matajiri. Ndugu yangu ni kiongozi wa kwaya kanisani, kazaa na mke wa mtu kanisani na bado yeye na mke wa mtu wanaimba kwaya kanisani baada ya yule jamaa kumuacha yule mwanamke.
Hawezi kuchaguliwa wakati nakwambia ni kiongozi wa kanisani? Achaguliwe nini tena?Hapa umechanganya mambo Kanisa katoliki halitengi mtu kwa style hiyo ,haliwezi kuzuia mtu kusali na hata kujiunga na chama cha kitume kama kwaya kwa kigezo cha kuzaa nje ya ndoa.Isipo kuwa hawezi kuchaguliwa kuwa kioongozi wala kupokea sakrament
Akienda mbeya atapigwa. Anawatest wana mbeya.“Bandari yetu ipo Salama kutoweka kikomo cha uhinafsishaji haimaanishi ni muda mrefu” Spika wa BUNGEView attachment 2649817
Mbeya mnaikuza tu nani wa kumpiga hapo?Akienda mbeya atapigwa. Anawatest wana mbeya.
Muulize kikwete
Nashauri kama hicho kipengele hakipo kiongezwe. Ushauri wangu kisizidi miaka 8“Bandari yetu ipo Salama kutoweka kikomo cha uhinafsishaji haimaanishi ni muda mrefu” Spika wa BUNGEView attachment 2649817
Mkuu milele haimanishi bila kukoma, ila muda mrefu wa kutosha-reasonable long timeWengine walisema ni miaka 100
Mh. Mbowe akasema ni wa "Milele"
Tundu Lisu amesema Yeye hajaona palipoandikwa miaka 100
Ndio nikakumbuka kiapo cha Ndoa za Wagalatia "alichounganisha Mungu Binadamu asikitenganishe"
Sasa kuna mzee mmoja Visiwa vya Ukerewe alimuacha mkewe wa Ndoa na Kanisa hilo hilo Takatifu la Mitume likampa Kibali cha kuoa mke mwingine.
Milele ni nini?
Watu tupo tunafaidika na mikopo yake tutaanzaje kumpiga?!Muulize kikwete
Ujinga na upumbavu, mikopo itakusaidia nini kutakapotokea mfumko wa bei sababu ya kuuza bandari?Watu tupo tunafaidika na mikopo yake tutaanzaje kumpiga?!
Bandari imekusaidia nini tangu uzawa wako hapo ulipo ndani ya nchii?Ujinga na upumbavu, mikopo itakusaidia nini kutakapotokea mfumko wa bei sababu ya kuuza bandari?
Milele ni isiyo na mwisho....infinity.Wengine walisema ni miaka 100
Mh. Mbowe akasema ni wa "Milele"
Tundu Lisu amesema Yeye hajaona palipoandikwa miaka 100
Ndio nikakumbuka kiapo cha Ndoa za Wagalatia "alichounganisha Mungu Binadamu asikitenganishe"
Sasa kuna mzee mmoja Visiwa vya Ukerewe alimuacha mkewe wa Ndoa na Kanisa hilo hilo Takatifu la Mitume likampa Kibali cha kuoa mke mwingine.
Milele ni nini?