Nikiwa mdogo niliamini Mkataba wa Milele ni Ndoa ya Kikristo, nikaona Msekwa anaoa kwa Kibali cha Kanisa!

Nakushangaa wewe mwanaume mzima kuwaza mikopo
Kijana ungekuwa na ubongo wa upembuzi wala usingeshangaa mimi kuzungumzia mikopo ya TULIA TRUST. 🤣🤣🙏

Narudia tena hatuwezi mpiga tunafaidika na mikopo yake.
 
Kosa kubwa la kiufundi ni mkataba huo kusainiwa na Wazanzibar pekee kisha hauhusu Bandari za Zanzibar.
 
Kosa kubwa la kiufundi ni mkataba huo kusainiwa na Wazanzibar pekee kisha hauhusu Bandari za Zanzibar.
Huu ni zaidi ya upendo wa agape, watu ambao ukienda Zanzibar wanakubagua na kukutenga kwa kila namna na kukuita kafiri leo wanakupendelea kwa kila namna.
Mtu akitaka akulishe sumu hakuwekei kwenye dagaa au mchicha, anakuwekea kwenye nyama
 
Waliompa kibali (Cha michongo) Ni mapadre alio wahonga.
Hata hivyo angemuoa yule mjane kwa ndoa ya kimila au kiserikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…