Nikiwa mdogo nilisikia watu wakisema 'Sina hata mia' nikadhani wanatania. Kumbe ni kweli hii kitu ipo

Nikiwa mdogo nilisikia watu wakisema 'Sina hata mia' nikadhani wanatania. Kumbe ni kweli hii kitu ipo

Ukijiunga na magaidi watu wanaanza kukuona hufai!

Mtu akifanya jambo Fulani usimuone hafai, shukuru zito halijakupata kwa kiwango chake
 
ya bando umepata wapi mkuu😆
kwakweli freebasic amekuwa mkombozi wangu.
Sihitaji kuwa na bando ili kuingia JamiiForum pamoja na site nyingine zisizolipishwa.
 
Back
Top Bottom