Nikiwa mdogo nilisikia watu wakisema 'Sina hata mia' nikadhani wanatania. Kumbe ni kweli hii kitu ipo

Nikiwa mdogo nilisikia watu wakisema 'Sina hata mia' nikadhani wanatania. Kumbe ni kweli hii kitu ipo

Yaani nilikuwa nikisikia mtu anasema 'hapa sina hata mia kabisa' , niliona kama utani hivi.

Lakini kumbe hii kitu ipo kabisa wakuu!

Be careful.
Km nakuona hivi
Screenshot_20200820-213345.jpg
 
Back
Top Bottom