Nikiwa mkubwa nataka nisaidie maskini.

Hii hatari kwa kweli. Au ati nikiwa mkubwa ntakua doctor nitibu wagonjwa. Mwisho wa siku ukiwa mkubwa unakuwa mkemia kwa kumix visungura energy k vant soda vs konyagi ini na figo kwisha unakuwa wewe ndo mgonjwa wa kusaidiwa. Dunia kihindimkuti sio siri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…