Kubadili jina nafanyaje? Kila nikijaribu nashindwaMimi mwenyewe nimebadili jina tu ,kuna mtu niliona analetea ujuaji .Huku jamvini anaye jua nilibadili jina ni mwanamke mmoja hivi tu wa Geita.
Sitaki mtu anifahamu kwa sasa ,Mtu akinifahamu ,naunda ID nyingine .
Labda mtu anifahamu kwa kupenda kwangu.
Sura ya mbibi unasema mtoto uso?Kama ni kweli mbona umeinama tusione iyo baby face; Fanya kuinuka ebu
😂😂😂 dah!Kuna mtu ananiheshimu kisa jf mkuu.Yani kuwa tu member humu Kwa miaka kadhaa ananiogopa.Na yeye anaogopa sn kujiunga
We jamaa nakuchoraga sana Tabata The Great,Mimi na marafiki kibao humu ndani japokuwa sitaki kuwataja wengine kila siku tunaonana nao
Marafiki wa ubungo gonga like hapa Kama unanijua
Marafiki wa tabata gonga like hapa Kama unanijua
Marafiki wa kimara gonga like hapa
Marafiki wa kkoo
Nadhani mnajijua gongeni like hapa
Unabadili vp mkuuKabla ya kuwa na ID hii ya Sigara Kali,nilikua na ID fulani ambayo mwisho iligundulika na college mate wangu wa chuo baada ya siku moja kuniita a.k.a yangu ya chuo ,nikaona huyu jamaa anataka kuniletea mazoea,nikabadili ID
Kuna dogo ni graduate one day nilikutana nae Ubungo nikampa JF ID yangu japo yeye alikataa katakata kuniambia anatumia I'd gani...humu kama unahororojoka mitusi mizitomizito utakuwa na guts saa ngapi za kutoa I'd yako si utahisi tcra na polisi wamekuja kukuunganisha na korokoroniWote humu tuna ID na hatujuani ukiachilia mbali wale wanaojulikana yaani verified.. Nasemea ID za kujificha kama zetu hizi
Lakini mtaani haipiti siku tunaiongelea JF. Tabu ni kwamba kila tunapoongea mtaani hakuna anayeonyesha dalili kwamba yeye ni member.
Hivyo unaweza kujibizana na mtu humu kumbe mnakunywa naye beer kila jioni.
Nawapa stori moja.
Mtoto wa mjomba wangu mwaka 2011 niliona computer yake ina matatizo na nikamsaidia. Sasa ilikuwa wazi mno akajisahau akawa anatuma post humu JF, siisemi ID yake na nikaiona.
Hakujua nimeona ID yake na siku hiyo alikuwa anatuma kuonyesha matatizo ya chuoni kwake nacho sikitaji.
Basi nikaikariri ID yake nikawa nafuatilia post zake humu JF.
Kimsingi alifaulu sana kukisumbua kile chuo kupitia JF. Maana madai yao yalielezwa vizuri humu JF hadi watawala wa chuo wakanywea na Tanzania nzima ikajua matatizo ya chuo hicho.
Sasa baada ya mwaka mmoja nikamtumia message kwenye simu kumtania kwa kumuita kw ajina la ID yake ya humu JF.
Mfano, kama ID yake ni Chungasana, nikamwita "vipi Chungasana unasemaje?"
Eeeh bwana akaruka, akanijibu "Chungasana ndiye nani".
Sikutaka tena kumuuliza nikajua kuwa hata ndug yako akiwa na ID ya JF hataki umjue.
Je, wenzagu mlishawahi kumjua mwenzenu wa JF hata kwa kuhisia?
hahaha acha kuji zeesha; usije pishana na gari la mshaharaSura ya mbibi unasema mtoto uso?
Like zimefika tu 3 na miji umetaja minne na umetumia wingi ktk maandshi ilihli kuna mafungu ya kutosha ya watu huko!!Mimi na marafiki kibao humu ndani japokuwa sitaki kuwataja wengine kila siku tunaonana nao
Marafiki wa ubungo gonga like hapa Kama unanijua
Marafiki wa tabata gonga like hapa Kama unanijua
Marafiki wa kimara gonga like hapa
Marafiki wa kkoo
Nadhani mnajijua gongeni like hapa
Waombe moderators wakusaidirKubadili jina nafanyaje? Kila nikijaribu nashindwa
Kwa hiyo watu mnaogopa kabisa kuwa revealed? Sijawahi kuogopa na sidhani itatokea. Kuna mtu alisema japo tunatumia ID fake, tunayoandika hayapo mbali na uhalisia wetu.Ni ngumu sana kumjua mtumiaji wa JF na ukimjua tuu sa hiyo hiyo atabadili ID!
Haka ka rule ka kutumia fake names kametuathiri sana!
Kwa hiyo watu mnaogopa kabisa kuwa revealed? Sijawahi kuogopa na sidhani itatokea. Kuna mtu alisema japo tunatumia ID fake, tunayoandika hayapo mbali na uhalisia wetu.