Nikiwa na 10-15M naweza pata gari gani ya juu?

Naomba pia details za toyota wish
 
Hivi huwezi kuwasilisha CIF inayolingana na ya TRA au ukaongeza kidogo i.e kwenye mfano wako wa USD 2700 wewe ukaweka CIF 2800 USD?
 
Wacha uongo zilitengenezwa zaidi ya elf 10 ila hazikufika elf 20 hyo elfu 10 tu itoe iwe 10+
Voltz zilitengenezwa 10,000 tu, ingia google utapata majibu bosi.

Na last make nadhani ni ya 2002 kama siyo 03.
 
gari yandoto yangu ni mazda xr8 bajet yake ikoje
 
Mkuu hiyo ni duty tu bado hatujaweka charges za bandari na pia kumbuka hiyo system ya TRA huwa haitoi exact figure hivyo hapo unatakiwa kuweka akiba hata ya 1M .
No!

Kilichoandikwa kwenye system ya TRA ni exactly figure, labda uingize wrong data za gari, system ikuletee amount za gari lingine!

Total amount haibadiliki, labda ujichanganye mwenyewe
 
Tafuta Xtrail aka mlezi wa wana ila baada ya miaka miwili ujiandae kubadili Engine
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji44][emoji849][emoji849]


Eti mlezi wa wana, my ribs[emoji23]
 
Hivi huwezi kuwasilisha CIF inayolingana na ya TRA au ukaongeza kidogo i.e kwenye mfano wako wa USD 2700 wewe ukaweka CIF 2800 USD?
Unaweza kuwasilishwa boss ila cha muhimu isiwe chini ya valuation waliyofanya wao hiyo 2700, unapowasilisha 2800 watavalue gari kwa thamani hiyo ya juu kidogo hivyo ushuru wako utapanda kidogo kuliko wa 2700
 
Nimepata chombo moja imenyoka saana subaru forest xt turbo very comforable saaana , powerful with sport mode button .. kuhusu mafuta sio tatizo ndio kila gari inatumia mafuta kulingana na uwezo wake[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…