Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna Gari hapoMashine hii 15M?
Pickup upate 2.5D usiangalie namba angalia uzima wa gariHabari wadau,
Kwanza kabisa niwe mkweli, sijui lolote kuhusu magari. Ndiyo naanza kupambana na mimi niwe na usafiri wangu.
Nataka kujua kwa kiasi cha milioni 10-15 naweza pata gari gani ya juu nzuri na ya safari ndefu.
Note: Toyota ndiyo brand nayona itanifaa.
Hii mashine naielewa sana unawezapata hii japo kwa mbinde sana.Habari wadau,
Kwanza kabisa niwe mkweli, sijui lolote kuhusu magari. Ndiyo naanza kupambana na mimi niwe na usafiri wangu.
Nataka kujua kwa kiasi cha milioni 10-15 naweza pata gari gani ya juu nzuri na ya safari ndefu.
Note: Toyota ndiyo brand nayona itanifaa.
Hii mashine naielewa sana unawezapata hii japo kwa mbinde sana.View attachment 1897103
Hii mashine makini sanaIna sura chachu.