Nikiwa na 10-15M naweza pata gari gani ya juu?

Habari wadau,

Kwanza kabisa niwe mkweli, sijui lolote kuhusu magari. Ndiyo naanza kupambana na mimi niwe na usafiri wangu.

Nataka kujua kwa kiasi cha milioni 10-15 naweza pata gari gani ya juu nzuri na ya safari ndefu.

Note: Toyota ndiyo brand nayona itanifaa.
Pickup upate 2.5D usiangalie namba angalia uzima wa gari
 
Habari wadau,

Kwanza kabisa niwe mkweli, sijui lolote kuhusu magari. Ndiyo naanza kupambana na mimi niwe na usafiri wangu.

Nataka kujua kwa kiasi cha milioni 10-15 naweza pata gari gani ya juu nzuri na ya safari ndefu.

Note: Toyota ndiyo brand nayona itanifaa.
Hii mashine naielewa sana unawezapata hii japo kwa mbinde sana.
images%20(33).jpg
 
Back
Top Bottom