Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,981
- 17,743
Anapitisha transit marekani au hahahaAnzisha BIASHARA ya kununua senene bukoba upeleke dsm
Jamaa ana 10 millions eti ... Wakati wengine wana tafuta 100,000/= tuuuAnapitisha transit marekani au hahaha
[emoji28] [emoji28] [emoji28] Sasa mfano real Madrid umempa ashinde, afu anapigwa!! Daah unaweza kumshtak kanjibai kwa maguAnza kubeti mkuu.... Ukifikisha million 100 ndo uje tena nikupe business plan yakufanya ila kwa sasa anza kubeti...
Chukuwa million zote 10 weka mkeka mmoja jumamosi na jumapili... Unganisha huo mkeka kwa kuziweka timu za Liverpool ,man city, Barcelona, juventus, real Madrid na bayern Munich.... Utapata point 10.7
10,000,000×10.7=107,000,000.
Ukiweza kurisk na kupata pesa hizo hakika utaweza kufanya biashara kubwa na ukapata faida ya kutosha
maana yake nini?Jus fare
Mmmmmh kwel?Uza kisamvu na matembele inalipa sana nakwambia mwezi tu utakuja hapa na ml 100.Wamarekani wanakula sana matembele na kisamvu