Nikiwa na mtaji wa Million 10 biashara gani naweza kuifanya nchini Marekani?

Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2015
Posts
7,981
Reaction score
17,743
Wadau heshima kwenu..

Kichwa cha habari hapo juu kinahusika kwa asilimia zote 100%

Wajuvi wa busness Nikiwa na mtaji wa Million 10 biashara gani naweza kuifanya nikiwa nchini Marekani?
 
Anza kubeti mkuu.... Ukifikisha million 100 ndo uje tena nikupe business plan yakufanya ila kwa sasa anza kubeti...
Chukuwa million zote 10 weka mkeka mmoja jumamosi na jumapili... Unganisha huo mkeka kwa kuziweka timu za Liverpool ,man city, Barcelona, juventus, real Madrid na bayern Munich.... Utapata point 10.7

10,000,000×10.7=107,000,000.
Ukiweza kurisk na kupata pesa hizo hakika utaweza kufanya biashara kubwa na ukapata faida ya kutosha
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] Sasa mfano real Madrid umempa ashinde, afu anapigwa!! Daah unaweza kumshtak kanjibai kwa magu
 
Uza kisamvu na matembele inalipa sana nakwambia mwezi tu utakuja hapa na ml 100.Wamarekani wanakula sana matembele na kisamvu
 
Back
Top Bottom