Wakuu naomba kuuliza ni nature ama vipi, Kuna huyu shemeji yenu nikiwa nae kwenye mahusiano serious mambo hayaendi kabisa
Maisha yanastuck changamoto zinajazana ila tukitengana maisha yanaenda(siwi na mwanamke mwingine)
Sasa kitu kinachoniuma ni kwamba anajitambua sana, ana hekima sana kifupi ni mwanamke Sahihi..
Ila tatizo ni hapo kama anakinuksi Fulani, waungwana wenye maarifa na ujuzi naombeni ufafanuzi