Nikiwa nae kwenye mahusiano mambo hayaendi kabisa

Wakuu naomba kuuliza ni nature ama vipi, Kuna huyu shemeji yenu nikiwa nae kwenye mahusiano serious mambo hayaendi kabisa

Maisha yanastuck changamoto zinajazana ila tukitengana maisha yanaenda(siwi na mwanamke mwingine)

Sasa kitu kinachoniuma ni kwamba anajitambua sana, ana hekima sana kifupi ni mwanamke Sahihi..

Ila tatizo ni hapo kama anakinuksi Fulani, waungwana wenye maarifa na ujuzi naombeni ufafanuzi
Wee wacha ujingaaa....sasa hekima yake haileti ndalama huyo sio wife material. Piga chini
 
Piga chini shida iko wapi?

Ndio tabu ya kuwa na demu mmoja ukiwa nao 10 hukosi wife material hata watatu

Kuwa na demu mmoja ni ulemavu
 
Wakuu naomba kuuliza ni nature ama vipi, Kuna huyu shemeji yenu nikiwa nae kwenye mahusiano serious mambo hayaendi kabisa

Maisha yanastuck changamoto zinajazana ila tukitengana maisha yanaenda(siwi na mwanamke mwingine)

Sasa kitu kinachoniuma ni kwamba anajitambua sana, ana hekima sana kifupi ni mwanamke Sahihi..

Ila tatizo ni hapo kama anakinuksi Fulani, waungwana wenye maarifa na ujuzi naombeni ufafanuzi
PM nikupe ufumbuz na maarifa ya uyo Binti huenda sio nyota Yako kweny utafutaji
 
Madem wa hivyo wapo sana!ukimpa pesa unaishiwa Hadi utashangaa!ukilala nae ndio kabisa !hupati kitu!!muache kama Yusuf vile alivyotaka kufanya labda roho akuambie,usilazimishe!
 
VIjana tunamaneno ya shombo sana kama tumekamilika vile kumbe walaaa
 
Watoto wadogo hawawezi kukuelewa,Wengi wamewekeza kwenye miili tu wanasahau Nafsi wakati kuitwa binadamu Ni mwili na Nafsi,

Nafsi za miili ya Binadamu zipo makundi 4 Maji,Udongo,Moto,na Upepo",

Ukiwa maji + Udongo mambo yanaenda
Ukiwa Moto + Upepo mambo yanaenda

tofauti na hapo Mfano Maji + Moto mambo hayaendi

Kwa kuhitimisha tu Kama We Ni mkristo nendeni kanisani kwa mchungajiKama we ni mwislam nendeni msikitini ufanyiwe dua mambo yatakuwa sawa bila kuachana".
Weka sifa za maji, moto, udongo na upepo
 
VIjana tunamaneno ya shombo sana kama tumekamilika vile kumbe walaaa
Unafikiri uongo we jamaa!!Labda kama umeyaanza juzi au ulibahatika kupata mmoja mwenye Kismat!
Wala sio utani!hata baadhi ya sisi Me tuna hiyo kitu,unaweza tembea na dem ukampa majanga au ukampa promotion na akajipata!
 
Wakuu naomba kuuliza ni nature ama vipi, Kuna huyu shemeji yenu nikiwa nae kwenye mahusiano serious mambo hayaendi kabisa

Maisha yanastuck changamoto zinajazana ila tukitengana maisha yanaenda(siwi na mwanamke mwingine)

Sasa kitu kinachoniuma ni kwamba anajitambua sana, ana hekima sana kifupi ni mwanamke Sahihi..

Ila tatizo ni hapo kama anakinuksi Fulani, waungwana wenye maarifa na ujuzi naombeni ufafanuzi
Sio kweli, sababu sio huyo dada
 
Unafikiri uongo we jamaa!!Labda kama umeyaanza juzi au ulibahatika kupata mmoja mwenye Kismat!
Wala sio utani!hata baadhi ya sisi Me tuna hiyo kitu,unaweza tembea na dem ukampa majanga au ukampa promotion na akajipata!
Mm nizingatia nyota Kisha mahusiano yanafuata baadae
 
Change mind set kwa mambo ya kufikirika. Unaweza mpoteza mtu sahihi maishani kwa fikra za kusadikika. Hakuna uhusiano wowote wa mafanikio yako na uwepo wa mtu mwingine kwenye maisha yako
Literaly hilo lipo but watu hawa pay antention to that . Ni mambo ya kiroho zaidi kuliko. you either lucky or not.
Hapo ni kuomba Mungu na kujaribu kutafuta the source, wengine wana historia chafu mno kabla hawajatulia
 
Wakuu naomba kuuliza ni nature ama vipi, Kuna huyu shemeji yenu nikiwa nae kwenye mahusiano serious mambo hayaendi kabisa

Maisha yanastuck changamoto zinajazana ila tukitengana maisha yanaenda(siwi na mwanamke mwingine)

Sasa kitu kinachoniuma ni kwamba anajitambua sana, ana hekima sana kifupi ni mwanamke Sahihi..

Ila tatizo ni hapo kama anakinuksi Fulani, waungwana wenye maarifa na ujuzi naombeni ufafanuzi
Hayo mambo yapo ,kuna mademu ukiwa nao ni nuksi ,mikosi ,magundu kwenda mbele.....
 
Back
Top Bottom