Wee wacha ujingaaa....sasa hekima yake haileti ndalama huyo sio wife material. Piga chiniWakuu naomba kuuliza ni nature ama vipi, Kuna huyu shemeji yenu nikiwa nae kwenye mahusiano serious mambo hayaendi kabisa
Maisha yanastuck changamoto zinajazana ila tukitengana maisha yanaenda(siwi na mwanamke mwingine)
Sasa kitu kinachoniuma ni kwamba anajitambua sana, ana hekima sana kifupi ni mwanamke Sahihi..
Ila tatizo ni hapo kama anakinuksi Fulani, waungwana wenye maarifa na ujuzi naombeni ufafanuzi
PM nikupe ufumbuz na maarifa ya uyo Binti huenda sio nyota Yako kweny utafutajiWakuu naomba kuuliza ni nature ama vipi, Kuna huyu shemeji yenu nikiwa nae kwenye mahusiano serious mambo hayaendi kabisa
Maisha yanastuck changamoto zinajazana ila tukitengana maisha yanaenda(siwi na mwanamke mwingine)
Sasa kitu kinachoniuma ni kwamba anajitambua sana, ana hekima sana kifupi ni mwanamke Sahihi..
Ila tatizo ni hapo kama anakinuksi Fulani, waungwana wenye maarifa na ujuzi naombeni ufafanuzi
Sio gundu bhna hakuna mwenye gundu katka Dunia hiii ukisema chanin wengine tunawaza tutakipata linAna gundu, achana na huyo kimeo
VIjana tunamaneno ya shombo sana kama tumekamilika vile kumbe walaaaMadem wa hivyo wapo sana!ukimpa pesa unaishiwa Hadi utashangaa!ukilala nae ndio kabisa !hupati kitu!!muache kama Yusuf vile alivyotaka kufanya labda roho akuambie,usilazimishe!
Weka sifa za maji, moto, udongo na upepoWatoto wadogo hawawezi kukuelewa,Wengi wamewekeza kwenye miili tu wanasahau Nafsi wakati kuitwa binadamu Ni mwili na Nafsi,
Nafsi za miili ya Binadamu zipo makundi 4 Maji,Udongo,Moto,na Upepo",
Ukiwa maji + Udongo mambo yanaenda
Ukiwa Moto + Upepo mambo yanaenda
tofauti na hapo Mfano Maji + Moto mambo hayaendi
Kwa kuhitimisha tu Kama We Ni mkristo nendeni kanisani kwa mchungajiKama we ni mwislam nendeni msikitini ufanyiwe dua mambo yatakuwa sawa bila kuachana".
Unafikiri uongo we jamaa!!Labda kama umeyaanza juzi au ulibahatika kupata mmoja mwenye Kismat!VIjana tunamaneno ya shombo sana kama tumekamilika vile kumbe walaaa
Sio kweli, sababu sio huyo dadaWakuu naomba kuuliza ni nature ama vipi, Kuna huyu shemeji yenu nikiwa nae kwenye mahusiano serious mambo hayaendi kabisa
Maisha yanastuck changamoto zinajazana ila tukitengana maisha yanaenda(siwi na mwanamke mwingine)
Sasa kitu kinachoniuma ni kwamba anajitambua sana, ana hekima sana kifupi ni mwanamke Sahihi..
Ila tatizo ni hapo kama anakinuksi Fulani, waungwana wenye maarifa na ujuzi naombeni ufafanuzi
Mm nizingatia nyota Kisha mahusiano yanafuata baadaeUnafikiri uongo we jamaa!!Labda kama umeyaanza juzi au ulibahatika kupata mmoja mwenye Kismat!
Wala sio utani!hata baadhi ya sisi Me tuna hiyo kitu,unaweza tembea na dem ukampa majanga au ukampa promotion na akajipata!
Acha UTAPELIPM nikupe ufumbuz na maarifa ya uyo Binti huenda sio nyota Yako kweny utafutaji
MNateteana etySio kweli, sababu sio huyo dada
Acha kuogopa mkuu niushauri tuu na Kuna vitu kama majina siku ya kuzaliwa mwezi n.kAcha UTAPELI
Toa ufumbuzi hapa kwa faida ya wote
Au unataka umuagize nazi na mayai biza??
Sio type yake!mafanikio ni zaidi ya kazi na bidii!!Kuna watu mambo huanza kwenda baada ya kuanzisha mahusiano na mtu fulani!Sio kweli, sababu sio huyo dada
HatariSio type yake!mafanikio ni zaidi ya kazi na bidii!!Kuna watu mambo huanza kwenda baada ya kuanzisha mahusiano na mtu fulani!
Literaly hilo lipo but watu hawa pay antention to that . Ni mambo ya kiroho zaidi kuliko. you either lucky or not.Change mind set kwa mambo ya kufikirika. Unaweza mpoteza mtu sahihi maishani kwa fikra za kusadikika. Hakuna uhusiano wowote wa mafanikio yako na uwepo wa mtu mwingine kwenye maisha yako
Endelea kumtafuna mkuuNampenda 😃✋
WalahMNateteana ety
Hayo mambo yapo ,kuna mademu ukiwa nao ni nuksi ,mikosi ,magundu kwenda mbele.....Wakuu naomba kuuliza ni nature ama vipi, Kuna huyu shemeji yenu nikiwa nae kwenye mahusiano serious mambo hayaendi kabisa