Watoto wadogo hawawezi kukuelewa,Wengi wamewekeza kwenye miili tu wanasahau Nafsi wakati kuitwa binadamu Ni mwili na Nafsi,
Nafsi za miili ya Binadamu zipo makundi 4 Maji,Udongo,Moto,na Upepo",
Ukiwa maji + Udongo mambo yanaenda
Ukiwa Moto + Upepo mambo yanaenda
tofauti na hapo Mfano Maji + Moto mambo hayaendi
Kwa kuhitimisha tu Kama We Ni mkristo nendeni kanisani kwa mchungajiKama we ni mwislam nendeni msikitini ufanyiwe dua mambo yatakuwa sawa bila kuachana".