Nikiwa nafanya meditation napaswa kuwaza kitu gani?

Nikiwa nafanya meditation napaswa kuwaza kitu gani?

Wakuu habari za majukumu,

Huwa ninafanya mazoezi, na kila baada ya mazoezi nakaa kitako, nafumba macho nikivuta hisia. Wakati huu napaswa kufikiria jambo gani
Tafakari wema na ukuu Mungu
 
Wakuu habari za majukumu,

Huwa ninafanya mazoezi, na kila baada ya mazoezi nakaa kitako, nafumba macho nikivuta hisia. Wakati huu napaswa kufikiria jambo gani?

Update.
Nashukuru nimepata link. Meditation: Maana, njia na faida zake
Naomba baada ya hapo utafute mahali tulivu penye ukimya na ufanye
1. Emptiness meditation kwa kuangalia ukuta na kufanya counting ya moja mpaka kumi kwa kurudia
2. Kufanya walking meditation ukiwa ume relax na kuhesabu hatua zako moja mpaka kumi, ukifika kumi unaaza tena..kumbuka kila wakati ku relax kwakuwa mind yako haitachelewa kukutoroka na kuwaza mengine kila baada ya dakika 3 hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu habari za majukumu,

Huwa ninafanya mazoezi, na kila baada ya mazoezi nakaa kitako, nafumba macho nikivuta hisia. Wakati huu napaswa kufikiria jambo gani?

Update.
Nashukuru nimepata link. Meditation: Maana, njia na faida zake
Kuna wataalamu wameelezea vizuri zaidi kwenye comment.

Mimi ilinichukua muda kidogo kufikia ile hatua ya kufanya meditation nikiwa nime clear kabisa mind, nilianza kwa kuvuta zile memory nazokumbuka za utoto then naweka imagination kwanini nimezaliwa(lengo ni kulijua kusudi la kuzaliwa kwangu), then naweka fantasy imagination kwa namna vile naeza kuleta positive impact kwa jamii kulingana na uwepo wangu. Hiyo ilinisaidia kwa kiasi fulani kupata positive mind na mwisho wa siku angalau kidogo sasa naweza meditate bila kuwa na conflict kwenye mind.
 
Wakuu habari za majukumu,

Huwa ninafanya mazoezi, na kila baada ya mazoezi nakaa kitako, nafumba macho nikivuta hisia. Wakati huu napaswa kufikiria jambo gani?

Update.
Nashukuru nimepata link. Meditation: Maana, njia na faida zake
hutakiwi kuwaza chochote , futa mawazo yote kichwani mwako , mawazo yawe formless kama maji yanavyobadilika umbo kulingana na chombo yanachokua ndani yake
 
Anza na kuwakumbuka mababu zako kwani ndio waliokuweka duniani. Mengine yatafuata baadae.
 
Back
Top Bottom