kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,511
- 4,369
Awali ya yote,ningenda kumpongeza Dr Samia Suluhu kwa kuendesha Kampeni za kistaarabu...Mama wa watu hatukani mtu wala hatwezi utu wa mtu.
Tuje kwenye point....ndugu zangu watanzania wenzangu,siku za hivi karibuni nimepatwa na changamoto flani,yani nikiwa faragha na jinsia ya kike tunafanya mambo ya kikubwa,basi kuna changamoto huwa naipata,changamoto yenyewe ni hii,wakati nakula mzigo yani napampu mashine yangu kwenye maku,basi huwa natokewa na hali ya kuhema sana.
Sasa hii hali inanitisha kidogo,je niko normal au ntakua na tatizo gani?
Watu mnataka mpk ushahidi wa pichaπPicha za ukiwa unakula mzigo ziko wapi sasa?
Sasa mbarali imeingiaje hapa ππKama una tumbo ka yule mwekezaji Chavayo sijui hiyo kawaida tu,
Kila kipaji kinaenda mahali pake.
We tafuta hela honga, acha vijana mitaani wamle mkeo.
Utakufa ukikomaza kichwa na tumbo lako hilo ka gunia la mpunga toka mbarali kwa mwashambwa.
Lukas mwashambwa anavuna mpunga kule sa hii.Sasa mbarali imeingiaje hapa ππ
Utakufa vibaya weweAwali ya yote,ningenda kumpongeza Dr Samia Suluhu kwa kuendesha Kampeni za kistaarabu...Mama wa watu hatukani mtu wala hatwezi utu wa mtu.