Nikiwa nakula mzigo, nahema sana

Unashabikia CCM halafu unauliza kama upo normal,utakuwaje normal sasa?🤔

Hata kinga ya mwili wako imeona kwamba inapambania takataka inakutengenezea mazingira ukate pumzi udedi maana hauna faida.

Ukiwa na roho mbaya hata mwili wako utakubadilikia. Mtizame kwanza Labubu wahedi mkubwa wewe.
 
😅😅 vijana wa mama
 
Labubu labulabu labubu labubu labulabu labubu
 
Hayo ndio madhara ya kumshadadia 🕑100
 
Kama una tumbo ka yule mwekezaji Chavayo sijui hiyo kawaida tu,
Kila kipaji kinaenda mahali pake.
We tafuta hela honga, acha vijana mitaani wamle mkeo.
Utakufa ukikomaza kichwa na tumbo lako hilo ka gunia la mpunga toka mbarali kwa mwashambwa.
Sina tumbo kama lile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…