Moja ya staili mbovu siipendi ni hiyo eti mwanamke aikalie Kwa juu π€Inaonesha huna mazoezi Mkuu!
Fanya mazoezi ya kukimbia na push-up japo mara tatu Kwa wiki, utaona progress
Kama umri wako utakuwa umesogea kama sisi Wazee wenu, basi mweke huyo binti aikalie kwa juu
Kwa hiyo unahitaji msaada gani? Tukufanyie harambee ya kupata mashine maalum ya kukusaidia kuhema taratibu, au?Awali ya yote, ningenda kumpongeza Dr Samia Suluhu kwa kuendesha Kampeni za kistaarabu. Mama wa watu hatukani mtu wala hatwezi utu wa mtu.
Tuje kwenye point ndugu zangu watanzania wenzangu, siku za hivi karibuni nimepatwa na changamoto flani, yani nikiwa faragha na jinsia ya kike tunafanya mambo ya kikubwa, basi kuna changamoto huwa naipata, changamoto yenyewe ni hii, wakati nakula mzigo yani napampu mashine yangu kwenye maku, basi huwa natokewa na hali ya kuhema sana.
Sasa hii hali inanitisha kidogo,je niko normal au ntakua na tatizo gani?
Tunataka mleta uzi aweke ka video akiwa ana hema kama bata
kyagata na kyanyangwe ni mapachaKusoma tu kichwa cha habari nikajua kyagata hawezi kukosa humu π
Mada hizi ndio zako - Hebu tumwagie na zako basiβ¦ wewe unaomba za wengine tuβ¦
Unalo kama lipi?Sina tumbo kama lile
Kwa nini unapenda kunihusisha na huyu mpuuzi mwenzio?kyagata na kyanyangwe ni mapacha
Kweli mnafanana sana majina hadi mada zenuKwa nini unapenda kunihusisha na huyu mpuuzi mwenzio?
Ebu Acha kuwa kero kwangu humu jf tafadhali sana.
Halafu anamuita mwenzie mpuuzi wakati akili ni Moja.Kweli mnafanana sana majina hadi mada zenu
ππKwani ukiwa na jinsia ya kiume hali huwa inakuwaje?
πUnashabikia CCM halafu unauliza kama upo normal,utakuwaje normal sasa?π€
Hata kinga ya mwili wako imeona kwamba inapambania takataka inakutengenezea mazingira ukate pumzi udedi maana hauna faida.
Ukiwa na roho mbaya hata mwili wako utakubadilikia. Mtizame kwanza Labubu wahedi mkubwa wewe.
Kwanini huipendi Mkuu?Moja ya staili mbovu siipendi ni hiyo eti mwanamke aikalie Kwa juu π€
Sasa sijui ndiyo ushamba π€
Bibi akiyasikia haya lazima asuse kulaππKwanini huipendi Mkuu?
Enzi za Ujana wangu Mwaka 47, nilikuwa napenda kuitumia kwa kuwa nilikuwa napenda ile eye contact na romance wakati tukipeana na Bibi yenu
NIlikuwa napenda kuona anavyozungusha kiuno, si unajua miaka ya zamani kulikuwa na ule wimbo wa bingili bingili mbaka Chini...
Hiyo ni style pendwa ya kujua kama ni gogo ama yaliyomo yamo π€
Sikutegemea kukukuta hapa MjukuuBibi akiyasikia haya lazima asuse kulaππ
πππsaw babu mdomo nafungaπ€Sikutegemea kukukuta hapa Mjukuu
Tafadhali, usimsimulie Bibi yako ulichokisoma hapa π
Nitakupatia ile zawadi niliyokwambia π€
Bado mdogo ww huja kutana na ng'ombe kurudi nyuma kwa mikogoMoja ya staili mbovu siipendi ni hiyo eti mwanamke aikalie Kwa juu π€
Sasa sijui ndiyo ushamba π€
Bora utakuwa umenisaidiaπππsaw babu mdomo nafungaπ€
Ila kazawadi usisasahu tuπ