The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Siku moja moja uwe unamwambia Bibi mkumbushie enzi zenu,Kwanini huipendi Mkuu?
Enzi za Ujana wangu Mwaka 47, nilikuwa napenda kuitumia kwa kuwa nilikuwa napenda ile eye contact na romance wakati tukipeana na Bibi yenu
NIlikuwa napenda kuona anavyozungusha kiuno, si unajua miaka ya zamani kulikuwa na ule wimbo wa bingili bingili mbaka Chini...
Hiyo ni style pendwa ya kujua kama ni gogo ama yaliyomo yamo 🤗
Hahahaha 😅Siku moja moja uwe unamwambia Bibi mkumbushie enzi zenu,
Ila Panadol iwe karibu.
😀😀
Andika wosia mapema.Awali ya yote, ningenda kumpongeza Dr Samia Suluhu kwa kuendesha Kampeni za kistaarabu. Mama wa watu hatukani mtu wala hatwezi utu wa mtu.
Tuje kwenye point ndugu zangu watanzania wenzangu, siku za hivi karibuni nimepatwa na changamoto flani, yani nikiwa faragha na jinsia ya kike tunafanya mambo ya kikubwa, basi kuna changamoto huwa naipata, changamoto yenyewe ni hii, wakati nakula mzigo yani napampu mashine yangu kwenye maku, basi huwa natokewa na hali ya kuhema sana.
Sasa hii hali inanitisha kidogo,je niko normal au ntakua na tatizo gani?
Sasa mkuu Kuna udogo? Nafukuzia 30yrs halafu unasema bado mdogo 🤣Bado mdogo ww huja kutana na ng'ombe kurudi nyuma kwa mikogo
Mimi napenda wanawake magogo mkuu mkuu.Kwanini huipendi Mkuu?
Enzi za Ujana wangu Mwaka 47, nilikuwa napenda kuitumia kwa kuwa nilikuwa napenda ile eye contact na romance wakati tukipeana na Bibi yenu
NIlikuwa napenda kuona anavyozungusha kiuno, si unajua miaka ya zamani kulikuwa na ule wimbo wa bingili bingili mbaka Chini...
Hiyo ni style pendwa ya kujua kama ni gogo ama yaliyomo yamo 🤗
Mwambie bibi leo apike ubwabwa na samaki wa nazi😋Bora utakuwa umenisaidia
Maana nilivyo mwoga wa kupigwa na baridi la usiku, na Uzee huu mbona ningejuta 🤗
Nipe maelekezo wataka nikutumie kwa njia ipi ile zawadi?
Au utakuja kuijia ukitoka Kazini Jioni 😜
Mimi pia zamani nilikuwa hivyo kutokana na asili yetu, hadi nilipokutana na hizo kaziMimi napenda wanawake magogo mkuu mkuu.
Inshu za yeye aanze kukaa Kwa juu aanze kuhangaika naonaje sijui
Bibi kashavuka uko siku izi yupo busy na sisi wajukuu zake😂Siku moja moja uwe unamwambia Bibi mkumbushie enzi zenu,
Ila Panadol iwe karibu.
😀😀
Muache mwenzio apate raha za dunia😂😂Umri na kazi
Umri umemtupa mkonoMuache mwenzio apate raha za dunia😂😂
Lakini bado anataka aendelee kupata utamu😂Umri umemtupa mkono
Umetaja chakula nikipendacho...Mwambie bibi leo apike ubwabwa na samaki wa nazi😋
Iyo ndo zawadi yangu
Nisiwe mnafki nilivyoona napenda kumpongeza Dr.... Nkaacha kusoma huu Uzi.Awali ya yote, ningenda kumpongeza Dr Samia Suluhu kwa kuendesha Kampeni za kistaarabu. Mama wa watu hatukani mtu wala hatwezi utu wa mtu.
Tuje kwenye point ndugu zangu watanzania wenzangu, siku za hivi karibuni nimepatwa na changamoto flani, yani nikiwa faragha na jinsia ya kike tunafanya mambo ya kikubwa, basi kuna changamoto huwa naipata, changamoto yenyewe ni hii, wakati nakula mzigo yani napampu mashine yangu kwenye maku, basi huwa natokewa na hali ya kuhema sana.
Sasa hii hali inanitisha kidogo,je niko normal au ntakua na tatizo gani?
Mimi ni kama Wazee wengine tu, tumeamua kutulia kutokana na UzeeBibi kashavuka uko siku izi yupo busy na sisi wajukuu zake😂
Lakini babu nakuonaga unamtekenya bibi🤭Mimi ni kama Wazee wengine tu, tumeamua kutulia kutokana na Uzee