Binti Abdullah
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 653
- 538
Nishukie kituo gani nikiwa ninatokea kariakoo?Rizwan ndo nani au ni wapi? Maana usije ukawa unautafuta ubalozi wa Marekani kwa nia ovu.
Nitumie namba yako nikuelekeze nije kukuchukua hapo kituoni. Au nimwambie dereva aje kukuchukua toka home. Umezoea mitaa ya kanyenye,bachu na isevya?Nishukie kituo gani nikiwa ninatokea kariakoo?
Asante kaka. Kwa miguu hapaendeki kwa maana pesa ya bodaboda sina. Nipo choka mbaya.panda gari za msasani shukia NAMANGA
chukua boda faster
Hii ni ratiba ya jumatano nikiwa kariakooWasiojulikana[emoji848]
Umeshindwa kuwauliza hata wenyeji wako malkia? Uliza hapo hata kkoo[emoji848][emoji848]
Mimi bado mshamba sijui hata hiyo google mapHujui kazi ya Google map?
Asante kaka. Kwa miguu hapaendeki kwa maana pesa ya bodaboda sina. Nipo choka mbaya.Kama umepanda gar ya kkoo-masaki shuka namanga chukua boda
Hii ni ratiba ya jumatano hii nikiwa kariakooNitumie namba yako nikuelekeze nije kukuchukua hapo kituoni. Au nimwambie dereva aje kukuchukua toka home. Umezoea mitaa ya kanyenye,bachu na isevya?
Sawa unambie nimwambie dereva aje kukuchukua. Pole sanaHii ni ratiba ya jumatano hii nikiwa kariakoo
[emoji16][emoji16]Sawa unambie nimwambie dereva aje kukuchukua. Pole sana
ukimuelekeza kutumia google map utaishiwa damu mkuu? amepost anaomba msaadaHujui kazi ya Google map?
Ha haAlafu kutwa kusifia jiwe na kutuita sisi tumetumwa na mabeberu kumbe hata drive inn hupajui
Kama umepanda gari za Kawe shuka ZANTEL,Nimeambiwa niende Mikocheni kwa Rizwan (Senga Road) near St Florence School. Nikiwa ninatokea kariakoo/ubalozi wa Marekani nishukie kituo gani? Mimi nimeishi saaana Iringa na Tabora hivyo ni mgeni/mshamba wa jiji. Wenyeji wa Dar ninaomba msaada wenu.