Nikiwa ninatokea Kariakoo/Ubalozi wa Marekani nishuke kituo gani?

Nikiwa ninatokea Kariakoo/Ubalozi wa Marekani nishuke kituo gani?

Alafu kutwa kusifia jiwe na kutuita sisi tumetumwa na mabeberu kumbe hata drive inn hupajui

ukimuelekeza kutumia google map utaishiwa damu mkuu? amepost anaomba msaada
Msimnyanyase. Mimi ntamtuma Dereva akamchukue amzungushe popote atakapo enda na kumrudisha nyumbani.
 
Wewe hebu achana na mambo ya kutaka kujua ulipo Ubalozi wa Marekani.. Kuwa mzalendo kwanza wa kutaka kujulishwa yaliyotokea huko CHAMWINO (MJENGONI)...Mama kaanza kukabia kwa Juu.. Vyuma vimeanza kuumana..
 
No no no...usiumize miguu. Aisee.... Miguu ya mwanamke si ya kutembelea. Ni ya kupendezesha tu mwili. Utanitumia namba yako private dereva atakuzungusha kokote utakapo.
Unataka ufanye matumizi mabaya na uhujumu uchumi wewe.. Unavunja miiko na taratibu za Chama chetu UWABATA...Ngoja mwenyekiti aone hiki kama hajakuvua uanachama
 
Nimeambiwa niende Mikocheni kwa Rizwan (Senga Road) near St Florence School. Nikiwa ninatokea kariakoo/ubalozi wa Marekani nishukie kituo gani? Mimi nimeishi saaana Iringa na Tabora hivyo ni mgeni/mshamba wa jiji. Wenyeji wa Dar ninaomba msaada wenu.
Dah...nipigie nikuelekeze asali [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unatokea Kariakoo panda gari za KAWE.. Shuka kituo kinaitwa kwa MWALIMU!
Kutoka kwa mwalimu unaweza kutembea au unachukua boda boda elfu moja mpaka mlangoni kwa Ridhwani Kikwete

Njia nyingine ni uchukue gari za kwenda MAKUMBUSHO.. Unaenda mpaka mwisho wa gari stendi kabisa! Ukishuka unachukua boda boda unamuambia akulete kwa Ridhwani Kikwete gharama huwa ni Elfu 2 maximum.

Njia nyingine panda gari za MAKUMBUSHO kupitia Kinondoni shuka Kituo cha MOROCCO AIRTEL. Ukishuka tu kituoni request BOLT ikulete SENGA ROAD 23. Gharama yake huwa haizidi 2000 maximum.
 
Kwa mguu ukishuka morocco ni rahis zaid hata hapo namanga pia panafikika kirahis sanaa...Almost 3 to 5 minutes
Hapana aisee.. Kutoka Morocco mpaka kwa Ridhwani kwa mguu ni ishu mzee.. Njia rahisi ya kufika kwa mguu ni kushuka kituo cha Mwalimu kule kisha anakuja na Road ya Rose Garden mpaka mtaa wa SENGA ROAD hapo anakuwa amefika tayari
 
Uko right pia mkuu.
Mi nimezoea hiyo zaid dats y
 
Nimeambiwa niende Mikocheni kwa Rizwan (Senga Road) near St Florence School. Nikiwa ninatokea kariakoo/ubalozi wa Marekani nishukie kituo gani? Mimi nimeishi saaana Iringa na Tabora hivyo ni mgeni/mshamba wa jiji. Wenyeji wa Dar ninaomba msaada wenu.
Kama huna wazo si usome ya wengine badala ya kupoteza muda?
 
Back
Top Bottom