Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Hamna wachawi wa maendeleo kwa vijana kama ndgu wanaotaka urudi home kwa kigezo watakupa mtaji.
Ogopa sana hii kitu, bora uendelee kupiga deshi huko uliko kuliko kurudi nyumbani, home hutafanya chochote cha maana hutanunua vitu vyako, umri ukikutupa utaanza kugombea urithi wa baba yako, utaanza kuwalaumu kua walikufelisha. Ndgu achana nao kabisa aisee wanafelisha ili wakulaumu.