Nikiwa Rais nitaifanya Wilaya ya Same kuwa Mkoa. Zàmu Kwa Zamu

Naunga mkono, Mimi kule kusini lazima kujengwa uwanja mzito wa ndege....
 
Tutakuwa na Mikoa mingapi? tunaweza kuwa na Mikoa mingi kuliko Wananchi. Pesa, wafanyakazi tutawapata wapi.

Same kuna watu wangapi? Ilani wazo zuri sana.
 
Tutakuwa na Mikoa mingapi? tunaweza kuwa na Mikoa mingi kuliko Wananchi. Pesa, wafanyakazi tutawapata wapi.

Same kuna watu wangapi? Ilani wazo zuri sana.

Hilo swali waulizwe viongozi WA sasa. Wasiposikia hata Mimi sitasikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…