Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Miji kama seoul, Beijing, Tokyo ni mikubwa sana, inawatu wengi dar cha mtoto ila ukiambiwa utafute udongo kwenye hio miji ni ngumu sana labda uènde kwenye Garden, kama wao wameweza na sisi Tanzania tunawezaMpaka hapo kura yangu umeshapata Mr. Prezidee
Tupo pamoja 😃😃
utapewa uwaziri, maana ukosi kampeni za raisi iwe jua, mvua upo tu kumpa sapoti 👏🏻👏🏻Tawireee
Mkuu pale bungeni Tu karibu na cbe kuna vumbi si la kitoto mpaka aibu Kama Taifa. Aisee nisamehe bure wakati ule nilikuwa siamini maono yako lakn VIP tayari umeajiri daktari WA akili ?Sio vizuri eneo la mjini kama posta, kariakoo na upanga kuwa na vumbi
Ahsante kwa kushiriki na karibu tenaMkuu pale bungeni Tu karibu na cbe kuna vumbi si la kitoto mpaka aibu Kama Taifa. Aisee nisamehe bure wakati ule nilikuwa siamini maono yako lakn VIP tayari umeajiri daktari WA akili ?
Ni aibu kubwa sana kuna barabara kariakoo zina vumbi kipindi cha kiangazi, na matope kipindi cha mvua na hata lami zinapigwa ni sukuma liende zinapigwa sana chini ya kiwango ni aibu sana na viongozi hawajaliDar inashangaza sn pale ilala city center kuna njia za vumbi kibao aibu sn, ulaya umeenda mbali rwanda tu hapo CBD hakuna vumbi mjini, wana no sand policy sisi hatuna kwenye sera.
Sawa, nilikua huko Glasgow, Scotland, ni either lami au majani. Ukitoka nje unazama ndani na viatu vyako.Kama tungekuwa tumepiga paving sehemu kubwa ya miji yetu hili vumbi lisingekuwa ni changamoto kama ilivyo sasa
Hatari sana mkuu😃Sawa, nilikua huko Glasgow, Scotland, ni either lami au majani. Ukitoka nje unazama ndani na viatu vyako.
Lakini utakua Rais Kwa miaka mingapi? Plan zako hazitekelezeki Kwa kipindi Cha miaka 10. You need 60 years, TZ Bado ina mengi ya kufanya, paving sio baadae sana?