Nikiwa sijafanya mapenzi kwa muda mrefu Kichaa kinapanda

Kwa sasa hivi ni ujana maji ya moto! Majukumu yakikuzidi utaacha mwenyewe.
Na siku ukija ponea chupu chupu kupata ngoma ndo akili itakaa sawa mademu wengi sana wameumia hata huwezi dhania. Kuna story nyingi sana humu za wadau kuponea chupu chupu.


Take care
NB; AFYA NJEMA NA UHAI NDO ZAWADI PEKEE MWENYEZI MUNGU KATUACHIA NDO INAYOTUPA FURAHA HATA KAMA HUNA KITU.
 
Ukizinizini ndio unakuwa huna akili. Wasiozini ndio wenye akili nyoofu.

Utakuwa na majini, yanayotaka kukucminisha unakichaa kumbe akili 8ko timamu.
 
mkuu mimi ninashida si kama napenda nikishafanya sasa tunaweza kufanya jambo la maana
Wala sio shida ni swala la maamuzi tu , hebu nkuulze kama ingekuwa ukimaliza tu kufanya unakufa hapohapo vp ungefanya Tena ?maana si unahis unashida,

Kama jibu ni hapana nisingefanya kwasbb naogopa kufa bac unauwezo wa kubalance either utafute mtu au ukue kiakili inaonekana Bado hujakomaa kifikra, na siku utakayokuja kugundua kwamba unacheza na future yako ushapoteza mengi zaidi ya huo umeme ulioufikiria.
 
nishaponea chuku chuku mara kibao ila zikishapanda kichwani na loose control
 
mi nadhan ningefanya mkuu😂😂😂Kufikiria outcome ukiwa na nyege ni ngumu sana
 
Una pepo la ngono (jini mahaba)
 
najutaaa nimetumia 600k…..
Ungemtumia Mama yako hio angekushukuru mpaka Siku unaingia kaburini Ila ulivyopotoka unaenda kuwapa Malaya, wallah tena asikuambie mtu mwingine hili nakuambia Mimi Amini Amini nakuambia wewe ni Lofa

600k unaenda kuichomeka kwenye matundu kwa siku 2 haki ya nani kweli kuna wazazi wanazaa takataka wewe ni Lofa, umemwambia Mama yako huu upumbavu uliofanya?
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Pole mkuu

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Kwa style yako tafut bartender au malaya uwe unanunua tuu
 
Hata sisi tulikuwa kama wewe ila hatukuwa wajinga kwenye gharama.. Tulitumia za kwao ama tulitumia the least
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…