Voltaire
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 1,231
- 1,189
Hello, huwa nikiwa mara nyingi kwenye mtihani alafu ticha akasema zimebaki dakika kumi na sijamaliza pepa huwa mapigo ya moyo huenda mbio alafu napiga bao.
Yani huwa nashindwa kujizuia kabisa na huwa nakosa nguvu kama vile nime sex kiukweli, nimekuja kugundua kwamba si nikwa kwenye mtihani tu hata nikiwa nawahi bus stendi alafu ticket nilishakata tangu jana, nikiona nachelewa na bus ntalikosa huwa hali kama hiyo hutokea pia.
Mwenye ufahamu na hii hali tafadhali anijuze tiba yake tafadhali!