Nikiwaambia msioe muwe mnasikia; kwa miezi 4 mwamba kaishi maisha magumu bila mshahara kumbe mkewe ana laki 8 ndani, na usaliti juu kaambulia

Umeingia deep sana mkuu, inaonekana hawa viumbe wamekukela sana.😄😄
 
Mungu hakuagiza tukaoane..

Agizo la kwanza lilikua "ZAENI MKAONGEZEKE"

Zaeni na sio OANENI MZEA.

Alianza direct ZAENIIII ......

#YNWA
 
Saafi kabisa, huyu Mwalimu Mkuu hajui raha ya ndoa! Ukute kazaliwa ndani ya ndoa takatifu, anyway raha ya kuoa kuna wakati unaweza kumchungulia tu mkeo kwa raha zako
Hapa nilipo Nina maanzi namchungulia tokea weekend na nitamchungulia mpaka sikukuu zitakapo Isha.

#YNWA
 
Sahihi nakinukisha now nibaki single ndoa ishanishinda mie kumanina
Hongera kwa maamuzi ya busara, faida zake ni nyingi kuliko hasara.

Moja ya faida nakupa uwezekano wa kuishi mpaka uzeeni, magonjwa haya yasiyo ya kurithi wa kuambukizwa kama stroke utakuwa umeshinda huwezi kuyapata.

Maswala ya usafi wa nyumba na kufuwa yasikutishe mitaani wamejaa unemployed people wanahitaji hizi tender kila weekend unawalipa yani siyo issue.

Na ukitaka mbususu ukiwa single ndio unachakata kwa raha zako kuliko kupangiwa mgao wa K na mke wako mwenyewe tena mke halali.

Hii dunia inapendeza kuishi miaka ya wastani tu kwa raha mustarehe kuliko kuishi miaka mingi kwa stress kisa eti mke ni ujinga mtupu.
 
Hapa nilipo Nina maanzi namchungulia tokea weekend na nitamchungulia mpaka sikukuu zitakapo Isha.

#YNWA
Chakata mdogo wangu, wamekuja na kauli mbiu mtafute ela, msibishe tafuteni na wao wakubali kuja kuzitumikia pesa zenu.

Swala la mapenzi tunakwenda kulifunga rasmi sasa hivi tukubaliane kwamba ni biashara na tusisingizie eti kuna mapenzi hakuna.
 
Kila jambo ni kumshirikisha Mungu. Na njia za Mungu hazichunguziki. Hapo ni Mungu anakupenda huyo John maana Yeye alichukuzwa na zinaa. Kusimamishwa kazi ni moja ya njia Roho wa Mungu katumia ili ajue nini Kina endelea. Ombea ndoa yako maana hata usipooa si utakuwa mwasherati je mambo hayo yanampendeza Mungu?. Dini zinawasaidia nin basi kama sio upumbafu tu. Kubali kuongozwa na Yesu mpokee sio kumjua tu Yeye atakupa mke au mume pia atakujuza yajayo maana Yeye ni Rafiki na amesema yupo karibu nawe zaid ya Nguo uloivaa. Je ukimpokea atashindwa kukupa mke? Kumlinda huyo mke dhid ya roho mbaya ya Shetani. Ndoa nyingi zimepungukiwa Maombi na zimekuwa mbali na Mungu nae amewaacha watumain akil zao
 
Matatizo ya mtu mmoja yafanye raia billion 7 duniani tusioe?. Makubwa haya
 
Oeni..msimsikize huyo..kikubwa kuomba Mungu akupe aliye sahihi
 
Nadhani ni Nyoka, Nyoka aliona Kuna deal pale akaona sio mbaya kama ataichangamkia
Nina watoto wawili.
Agizo la Mungu nishatimiza.

Naendelea kutafuta hela na elimu.

KUOA HAKUNA MAANA.
Kwasababu hata hao waanzilishi wa dunia walikutana na kuanza kugongana na kutoa watoto.

Hawakuoana.

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…