Nikiwaga sina kazi ya kufanya.

Nikiwaga sina kazi ya kufanya.

Huwa nafungua wallet yangu na kujivunia wingi wa vitambulisho nilivyonavyo, nakujiuliza ni kipi kitahitajika tena kwa uhakiki.

Awamu hii si pesa bali ni kujazwa vitambulisho tu, mwisho wa siku ni kukabwa na kuambulia makofi maana hatuna cha kuwapa vibaka.. Teh teh.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38] [emoji38] nimejikuta nacheka sana
 
Huwa nafungua wallet yangu na kujivunia wingi wa vitambulisho nilivyonavyo, nakujiuliza ni kipi kitahitajika tena kwa uhakiki.

Awamu hii si pesa bali ni kujazwa vitambulisho tu, mwisho wa siku ni kukabwa na kuambulia makofi maana hatuna cha kuwapa vibaka.. Teh teh.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lol...
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mimi nikiwa sina kazi ya kufanya nafanya biashara. ya kuuza hizi.
CCM%20Full.jpg
Hili dude shingapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom