Juice world
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,982
- 2,706
Wazee chukulia nina billion 5 kutoka kwenye biashara zangu mbalimbali.
Nimeona tangazo la UTT Amis kwamba wanagawa gawio zuri kwa mwaka ndio nikataka kuwauliza nyie rafiki zangu wa humu JamiiForums.
Je, hawa jamaa nikiweka pesa inakua salama? Nikiweka Bilioni 5 napata gawio Bei Gani Kila mwezi.
Nipo serious wazee sababu nimeona kama hii ni sehemu nzuri ya kuwekeza pesa zangu ninazozipata kwenye biashara zangu.