Nikiweka billioni 5 UTT Amis napata gawio bei gani?

Wazee chukulia nina billion 5 kutoka kwenye biashara zangu mbalimbali.

Nimeona tangazo la UTT Amis kwamba wanagawa gawio zuri kwa mwaka ndio nikataka kuwauliza nyie rafiki zangu wa humu JamiiForums.

Je, hawa jamaa nikiweka pesa inakua salama? Nikiweka Bilioni 5 napata gawio Bei Gani Kila mwezi.

Nipo serious wazee sababu nimeona kama hii ni sehemu nzuri ya kuwekeza pesa zangu ninazozipata kwenye biashara zangu.
Yaan uwe na bilioni 5 uziwekw zote UTT ulizipata kwa urithi au
100ml-1, 000,000/-pm.
Endelea nayo jawabu utapata
# case closed!
Kiuhalisia 100m atapata around 850k hadi 890k haitafika 1m.. itafika 1m akiweka around 118m au 120m
 
Oya hiinwekeza ya mpesa vipi kweli asilimia 13 kwa mwaka?
 
Wazee chukulia nina billion 5 kutoka kwenye biashara zangu mbalimbali.

Nimeona tangazo la UTT Amis kwamba wanagawa gawio zuri kwa mwaka ndio nikataka kuwauliza nyie rafiki zangu wa humu JamiiForums.

Je, hawa jamaa nikiweka pesa inakua salama? Nikiweka Bilioni 5 napata gawio Bei Gani Kila mwezi.

Nipo serious wazee sababu nimeona kama hii ni sehemu nzuri ya kuwekeza pesa zangu ninazozipata kwenye biashara zangu.
UTT wenyewe hawana kiwango cha mtaji huo.
 
Hadi unapata bilioni 5 umekosa akili za kuwafuata ofisini kwao ukawauliza?
 
Wazee chukulia nina billion 5 kutoka kwenye biashara zangu mbalimbali.

Nimeona tangazo la UTT Amis kwamba wanagawa gawio zuri kwa mwaka ndio nikataka kuwauliza nyie rafiki zangu wa humu JamiiForums.

Je, hawa jamaa nikiweka pesa inakua salama? Nikiweka Bilioni 5 napata gawio Bei Gani Kila mwezi.

Nipo serious wazee sababu nimeona kama hii ni sehemu nzuri ya kuwekeza pesa zangu ninazozipata kwenye biashara zangu.
kwa mwezi utapata milion 50
nikumbuke kaka
 
HAuko serious, mwenye 5B hawezi kuja kuuliza jf
 
Back
Top Bottom