Juice world
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,982
- 2,706
Ooh okay100ml-1, 000,000/-pm.
Endelea nayo jawabu utapata
Bitcoin nayo is too risk,sio kila mtu anaweza kuvumilia "stress" za bear run zaidi ya miaka 2.......unashangaa bilioni 5 ghafla inakua milioni 900,unapanick unatoa kwa hasaraNi upumbavu kuweka bilioni 5 UTT kwa faida ya asilimi 10 kwa mwaka kisa pesa yako iko na low risk, ni bora pesa hiyo ukanunua Bitcoin ambayo kila mwezi una uhakika kupata 20% mpaka 60% kama faida ya ongezeko la thamani ya bei ya bitcoin ambapo ukipiga faida ya mwaka tayari wewe ni billionare mara mbili au tatu ya pesa uliyowekeza kwenye crypto. Fungua ubongo wako vizuri achana na biashara zilizojaa usiasa Tanzania wajanja washahama huko.
Tuziweke wapi sasa wanandugu maana nategemea kula mkeka hapa wa mabilioni kutoka sportpesa 😎Bitcoin nayo is too risk,sio kila mtu anaweza kuvumilia "stress" za bear run zaidi ya miaka 2.......unashangaa bilioni 5 ghafla inakua milioni 900,unapanick unatoa kwa hasara
Tuziweke wapi sasa wanandugu maana nategemea kula mkeka hapa wa mabili
Endelea kuwachangia wanaume wenzako wahindi wale Bata Bombay kuleoni kutoka sportpesa 😎
We unafanya bitcoin au ushawahi fanya bitcoin? Acheni stori za kusadikika .Ni upumbavu kuweka bilioni 5 UTT kwa faida ya asilimi 10 kwa mwaka kisa pesa yako iko na low risk, ni bora pesa hiyo ukanunua Bitcoin ambayo kila mwezi una uhakika kupata 20% mpaka 60% kama faida ya ongezeko la thamani ya bei ya bitcoin ambapo ukipiga faida ya mwaka tayari wewe ni billionare mara mbili au tatu ya pesa uliyowekeza kwenye crypto. Fungua ubongo wako vizuri achana na biashara zilizojaa usiasa Tanzania wajanja washahama huko.
Duh kwa hiyo mil5 kwa mwezi100ml-1, 000,000/-pm.
Endelea nayo jawabu utapata
# case closed!
Kwa mwezi au kwa mwakaWanatoa gawio la 1% pesa uliyowekeza (hapo kabla ya Makato)
Naam, raisi wa el salvador na serikali yake walinunua bitcoinza usd milion 300, katika awamu 3 za milion 100 mzigo ukadrop kama mwaka hivi ukaja recover last two weeks kapost unasoma usd 600 million. Hapo kati kama haupo strong unaweza kua kichaaBitcoin nayo is too risk,sio kila mtu anaweza kuvumilia "stress" za bear run zaidi ya miaka 2.......unashangaa bilioni 5 ghafla inakua milioni 900,unapanick unatoa kwa hasara
Wekeza BOT upate 15.9% ya 5 billion ambayo ni sawa na Tshs795,000,000 kila mwaka.Wazee nina billion 5 hapa ambazo ni kutoka kwenye biashara zangu mbalimbali.
Nimeona tangazo la UTT Amis kwamba wanagawa gawio zuri Kwa mwaka ndio nikataka kuwauliza nyie rafiki zangu wa humu JamiiForums.
Je, hawa jamaa nikiweka pesa inakua salama na je NIKIWEKA BILLIONI 5 napata gawio Bei Gani Kila mwezi.
Nipo serious wazee sababu nimeona kama hii ni sehemu nzuri ya kuwekeza pesa zangu ninazozipata kwenye biashara zangu
Piga hesabu tena vizuriDuh kwa hiyo mil5 kwa mwezi
Mbons hela nzuri hiyo. Mil 500 kwa mwaks sii unsgegeda mrembo mpya kila leo na chenchi inabakiPiga hesabu tena vizuri
Bilioni 5 ni = 5,000,000,000
10% = ?
SawaWekeza BOT upate 15.9% ya 5 billion ambayo ni sawa na Tshs795,000,000 kila mwaka.
SawaPiga hesabu tena vizuri
Bilioni 5 ni = 5,000,000,000
10% = ?