Nikiweka sakafu haitaleta shida?

Nikiweka sakafu haitaleta shida?

Ukipiga kisha ukakaa mda mrefu inapaukapasuka kisha utarudia tena kupiga.
All the best
 
View attachment 3094747


Wakuu kwema naombeni ushauri, hilo ni pagale langu nimepiga plasta nimeweka grills na mageti bado sijahezeka ila ninampango wa kuhezeka mwakan nauliza niliweka rafu floor haitokua shida asanten
Hakuna shida, ila itakusumbua sana baadaye kwenye kusafisha mbolea ya binadamu itakayowekwa kwenye hiyo sakafu na vijana wa hovyo
 
Na sijaelewa kwanini mdau anajenga nyumba kwa style ya kwenda nyuma kurudi mbele?

Yaani hajapaua yeye amepiga plaster still hajapaua anataka tena apige sakafu kwani mkuu raylin ni nini kinakufanya ukwepe kuweka paa?maana hapo unaenda kupata hasara ya plaster kama hujaezeka mapema.
Naezeka mwakan kiongozi, pia ujenzi ni kama kumpa uji mtoto kila mmoja anastaili yake, hujaona wengine wanaanza France kabla ya nyumba?
 
Pesa uliyoweka grill za dirisha na unayotaka kuweka sakafu ungetumia kuezeka kwanza.
 
Ila kwani kuna shida gani au ndo zikipigwa mvua italeta kutu
Hapo inatakiwa ahakikishe anapiga plasta ya cement kali juu ya ukuta wa nyumba nzima ili mvua ikinyesha maji yasipate upenyo wa kuingia kwenye matofali vinginevyo plasta itakuja kuwa inabanduka vipande vipande au ukigonga gonga ukuta unatoa mlio unaoashiria kama kwa ndani pako wazi
 
Back
Top Bottom