Nikiweka sakafu haitaleta shida?

Nikiweka sakafu haitaleta shida?

View attachment 3094747

Wakuu kwema naombeni ushauri, hilo ni pagale langu nimepiga plasta nimeweka grills na mageti bado sijahezeka ila ninampango wa kuhezeka mwakan nauliza niliweka rafu floor haitokua shida asanten
piga tu rough floor haina shida labda shida ni vile umepiga plasta halafu unakaa muda mrefu bila kuezeka.

halafu huyo welder hajui Pythagoras theorem hajakunyooshea hizo square, yote tisa hongera umepambana kufikia hapo umepambana.
 
Asante sana mkuu
 
Kama lengo ni kukwepa nyasi zisiote kwnn usimwage kokoto tu pote alafu ukiezeka ndo umalize chini maana unaweza ukala hasara baadae
 
Back
Top Bottom