Hypersonic WMD
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,337
- 1,876
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwann unaona vibaya !!Kuwa bulky kama the rock naona ni jau, bora uwe lean kama bruce lee hivi
Ni mm😂😂😂Kwa hiyo mwanetu umeweka dp ya kuvuta warembo, wakijaa wanakutana na kitambi😃
napendelea kuwa fit, kuliko kuwa na minguvu mingiKwann unaona vibaya !!
unaogopa attention
Sasa hapo nyama uzembe zipo wapi?Ni mm😂😂😂
Niliacha kwa muda..,, mwili umejirudSasa hapo nyama uzembe zipo wapi?
Unampango wa kufanya kazi ngumu za siri kama za navy special forces wa kule marekani?napendelea kuwa fit, kuliko kuwa na minguvu mingi
ujue wale navy special forces wa kule marekani, ambao wanatumika kwa mission ngumu za siri siri, hawana miili mikubwa, ni kwasababu kuweza kubeba vitu vizito pekee havisaidii inabidi wawe na stats zingine kama speed, stamina, endurance etc
sasa ukiwa kidari unapuuzia hizo nyanja nyingine zooote, sema kama unataka zile kiki za wadada ni sawa tu
Mtazame Chuck Norris mwenye miaka 84 mlinganishe na Arnold Schwarzenegger mwenye miaka 77.Kwann unaona vibaya !!
unaogopa attention
lakin kuisha au kuzeeka haraka kuna factor nyingi ikiwa genetic piaMtazame Chuck Norris mwenye miaka 84 mlinganishe na Arnold Schwarzenegger mwenye miaka 77.
Chuck yeye alikuwa mtu wa acrobatics na ana mikanda ya judo na michezo mingine kama miwili ila hakuwa na mwili mkubwa. Arnold yeye alikuwa mnyanyua vyuma.
Katika mazoezi hata ya ngumi mtu anakua ana chaguzi mbili ama awe na speed na precision (mfano Karate katika ngumi na calisthenics kwenye mazoezi) au awe na power (mfano boxing katika ngumi na weight lifting kwenye mazoezi)napendelea kuwa fit, kuliko kuwa na minguvu mingi
ujue wale navy special forces wa kule marekani, ambao wanatumika kwa mission ngumu za siri siri, hawana miili mikubwa, ni kwasababu kuweza kubeba vitu vizito pekee havisaidii inabidi wawe na stats zingine kama speed, stamina, endurance etc
sasa ukiwa kidari unapuuzia hizo nyanja nyingine zooote, sema kama unataka zile kiki za wadada ni sawa tu
napendelea tu yaani😅Unampango wa kufanya kazi ngumu za siri kama za navy special forces wa kule marekani?
Nataka za kuwalia watunapendelea kuwa fit, kuliko kuwa na minguvu mingi
ujue wale navy special forces wa kule marekani, ambao wanatumika kwa mission ngumu za siri siri, hawana miili mikubwa, ni kwasababu kuweza kubeba vitu vizito pekee havisaidii inabidi wawe na stats zingine kama speed, stamina, endurance etc
sasa ukiwa kidari unapuuzia hizo nyanja nyingine zooote, sema kama unataka zile kiki za wadada ni sawa tu
Lakini yote kwa yote sipendi ule muonekano wa kuwa bulky aiseeKatika mazoezi hata ya ngumi mtu anakua ana chaguzi mbili ama awe na speed na precision (mfano Karate katika ngumi na calisthenics kwenye mazoezi) au awe na power (mfano boxing katika ngumi na weight lifting kwenye mazoezi)
Lakini kuna exceptions mfano Flex Wheeler, pamoja na mwili mkubwa lakini alikua na speed na flexibility mwingine ni Michael Jai White, Adama Traore kisha kuna watu wana miili lean lakini hawana speed wala precision mfano Kai Havertz, Mount n.k.
So mwili ni unavyoucondition.
Umetoa mfano wa jeshi la Marekani, lakini hilo jeshi linaongoza kwa kutumia steroids supplements ambazo zinampa mwili mkubwa na bado anakua na speed, flexibility na precision.
Chaguo ni lako, hamna kusingizia.
Michael Jai White ni balaa na nusu yule mwamba.Katika mazoezi hata ya ngumi mtu anakua ana chaguzi mbili ama awe na speed na precision (mfano Karate katika ngumi na calisthenics kwenye mazoezi) au awe na power (mfano boxing katika ngumi na weight lifting kwenye mazoezi)
Lakini kuna exceptions mfano Flex Wheeler, pamoja na mwili mkubwa lakini alikua na speed na flexibility mwingine ni Michael Jai White, Adama Traore kisha kuna watu wana miili lean lakini hawana speed wala precision mfano Kai Havertz, Mount n.k.
So mwili ni unavyoucondition.
Umetoa mfano wa jeshi la Marekani, lakini hilo jeshi linaongoza kwa kutumia steroids supplements ambazo zinampa mwili mkubwa na bado anakua na speed, flexibility na precision.
Chaguo ni lako, hamna kusingizia.
Ok Mkuu, kuwa fit ni jambo zuri ila tusisahau kuishi na kufanya mambo yatakayotupa furaha uzeeni maana unaweza ukashangaa 50 years hii hapa upo fit na misix park ila huna kazi nayo, huna pa kuyatumia, huna furaha.napendelea tu yaani😅
utafute na pesa piaNataka za kuwalia watu
Van Damme tunamuweka wapi? Arnold alikua pro kwenye weight lifting Van Damme hakua pro huko ila alikua pro kwenye Karate.Mtazame Chuck Norris mwenye miaka 84 mlinganishe na Arnold Schwarzenegger mwenye miaka 77.
Chuck yeye alikuwa mtu wa acrobatics na ana mikanda ya judo na michezo mingine kama miwili ila hakuwa na mwili mkubwa. Arnold yeye alikuwa mnyanyua vyuma.
Ndiyo sababu nimesema chaguo ni lako.Lakini yote kwa yote sipendi ule muonekano wa kuwa bulky aisee