Nikiweza kuvumilia Kuwa na body la hivi !! Nitaweka part

Nikiweza kuvumilia Kuwa na body la hivi !! Nitaweka part

Kama kuna mtu upo hapa saa hii na hua unafanya mazoezi yoyote hata ya kutembea tu kila jioni nataka ujue kwamba wasiofanya mazoezi wanakuonea wivu.

Wanatamani dedication, discipline na consistency uliyonayo katika unachofanya ila hawana so don't stop, keep going.
 
Van Damme tunamuweka wapi? Arnold alikua pro kwenye weight lifting Van Damme hakua pro huko ila alikua pro kwenye Karate.

Is it fine tukiwalinganisha Van Damme na Arnold au Van Damme na Chuck Norris?
Van Damme ana mwili mkubwa kiasi tofauti na karate wengi. Ana mwili wa mazoezi ya nguvu na kutunisha misuli ndio maana alivyozeeka alishuka. Ni kama mwili wa John Cena.

Ila Chuck au Bruce Lee walikuwa na miili ya mazoezi ya stamina, endurance na kuwa fit. Hata uzeeni hapungui sana endapo other factors remain constant. Hata Jet Li angekuwa hivi kama sio ugonjwa.
 
Kila mnavyoniona mnanijuaa My brother hamnijuiii,,,
Umejazaa nyamaa ila mashine haikuiii,,
BENZINOO ILALAAAA
 
Kama upo around 20 to 30 ndiyo wakati wa ku-chase your dream body looking.

Sisi wengine tupo kwenye age ya kumfatilia Profesa Janabi nini amekataza tusifanye ili tuchelewe kufa 🙌
Hiyo ni age ya jogging na kuruka kamba wala hakuna shida kabisa. Mambo ya kubeba vyuma mwishowe utanue moyo bure tuyaachie mabaunsa.
 
Van Damme ana mwili mkubwa kiasi tofauti na karate wengi. Ana mwili wa mazoezi ya nguvu na kutunisha misuli ndio maana alivyozeeka alishuka. Ni kama mwili wa John Cena.

Ila Chuck au Bruce Lee walikuwa na miili ya mazoezi ya stamina, endurance na kuwa fit. Hata uzeeni hapungui sana endapo other factors remain constant. Hata Jet Li angekuwa hivi kama sio ugonjwa.
Nimekuelewa, kupungua kwa bulky ni lazima. Calisthenics watapoteza tu muscle definition
 
Hiyo ni age ya jogging na kuruka kamba wala hakuna shida kabisa. Mambo ya kubeba vyuma mwishowe utanue moyo bure tuyaachie mabaunsa.
Hahaha........age ya kufanya mazoezi ya kutembea kutoka Geti Maji hadi Savei via Barabara ya Chuo Kikuu 🙌
 
Najua kuna factors nyingi ila huo ndio mwongozo wa wengi katika hizo fani. Beba vyuma alafu acha kwa miaka miwili uone kama hujafubaa. Fanya mazoezi ya stamina uwe na mwili mkakamavu ila sio mkubwa alafu acha miaka miwili na hubadiliki umbo.
Nakubaliana na wewe mkuu.

Gym lifting is the steroid using in disguise.

Yaani ukija kuacha baadae unakuwa haupendezi,so inabidi uwe unaendelea.

Lakini mimi binafsi mazoez yangu ni kukimbia,kuruka kamba,pushap na squarts kadhaa,kata tumbo na siku yangu inakuwa imeisha hapo.

Sijawahi kubadilika,hata niache vipi mazoezi
 
Back
Top Bottom