Van Damme ana mwili mkubwa kiasi tofauti na karate wengi. Ana mwili wa mazoezi ya nguvu na kutunisha misuli ndio maana alivyozeeka alishuka. Ni kama mwili wa John Cena.Van Damme tunamuweka wapi? Arnold alikua pro kwenye weight lifting Van Damme hakua pro huko ila alikua pro kwenye Karate.
Is it fine tukiwalinganisha Van Damme na Arnold au Van Damme na Chuck Norris?
Najua kuna factors nyingi ila huo ndio mwongozo wa wengi katika hizo fani. Beba vyuma alafu acha kwa miaka miwili uone kama hujafubaa. Fanya mazoezi ya stamina uwe na mwili mkakamavu ila sio mkubwa alafu acha miaka miwili na hubadiliki umbo.lakin kuisha au kuzeeka haraka kuna factor nyingi ikiwa genetic pia
Hiyo ni age ya jogging na kuruka kamba wala hakuna shida kabisa. Mambo ya kubeba vyuma mwishowe utanue moyo bure tuyaachie mabaunsa.Kama upo around 20 to 30 ndiyo wakati wa ku-chase your dream body looking.
Sisi wengine tupo kwenye age ya kumfatilia Profesa Janabi nini amekataza tusifanye ili tuchelewe kufa 🙌
Nimekuelewa, kupungua kwa bulky ni lazima. Calisthenics watapoteza tu muscle definitionVan Damme ana mwili mkubwa kiasi tofauti na karate wengi. Ana mwili wa mazoezi ya nguvu na kutunisha misuli ndio maana alivyozeeka alishuka. Ni kama mwili wa John Cena.
Ila Chuck au Bruce Lee walikuwa na miili ya mazoezi ya stamina, endurance na kuwa fit. Hata uzeeni hapungui sana endapo other factors remain constant. Hata Jet Li angekuwa hivi kama sio ugonjwa.
Hahaha........age ya kufanya mazoezi ya kutembea kutoka Geti Maji hadi Savei via Barabara ya Chuo Kikuu 🙌Hiyo ni age ya jogging na kuruka kamba wala hakuna shida kabisa. Mambo ya kubeba vyuma mwishowe utanue moyo bure tuyaachie mabaunsa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo mwanetu umeweka dp ya kuvuta warembo, wakijaa wanakutana na kitambi[emoji2]
Sema ambacho huwa nakiona kwa wanaopungua ni kwamba wakirejea mazoezi yao huwa wanarudisha mwili haraka. Ila wakiacha ghafla mazoezi huwa wanaugua.Nimekuelewa, kupungua kwa bulky ni lazima. Calisthenics watapoteza tu muscle definition
Sasa mashine imeingiaje hapaKila mnavyoniona mnanijuaa My brother hamnijuiii,,,
Umejazaa nyamaa ila mashine haikuiii,,
BENZINOO ILALAAAA
we n kambea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha uogaHiyo ni age ya jogging na kuruka kamba wala hakuna shida kabisa. Mambo ya kubeba vyuma mwishowe utanue moyo bure tuyaachie mabaunsa.
kweliSema ambacho huwa nakiona kwa wanaopungua ni kwamba wakirejea mazoezi yao huwa wanarudisha mwili haraka. Ila wakiacha ghafla mazoezi huwa wanaugua.
Nakubaliana na wewe mkuu.Najua kuna factors nyingi ila huo ndio mwongozo wa wengi katika hizo fani. Beba vyuma alafu acha kwa miaka miwili uone kama hujafubaa. Fanya mazoezi ya stamina uwe na mwili mkakamavu ila sio mkubwa alafu acha miaka miwili na hubadiliki umbo.
hayo hayoUnatafuta kujaza maziwa,au mi ndo sijazielewa hizo pictures
Jiangalie kuna wengine michele watu wanatwanga.Nataka za kuwalia watu
ndio nnJiangalie kuna wengine michele watu wanatwanga.