Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 4,385
- 6,443
Kwahiyo tunachokiona kule gaza na lebanon na Mozambique ndizo software hizo?Sura haipigani vita mkuu, ilikuwa zamani! Sasa hivi vita ipo kwenye softwares
Upo period mbona umepanik badala ujibu ulichoulizwa?Umekariri, ahsante kwa mchango wako, wenye akili wameelewa imetoka hiyo!
Nitaridhika siku ukikubali nikuoeYes, umeridhika?
Na hapa Sio matusi haya PaygeView attachment 3144419View attachment 3144420View attachment 3144421
Kumbe una Njaa kiasi hiki halafu ni Masikini hivi? Sasa hizi Shobo zote hapa JamiiForums kujifanya una Hela na Maisha bora za nini? Natamani uje na Kwangu uniombe au unikope ili nikupasue kabisa hilo Nyero lako ukome.
Kwa hiyo ndani ya mwaka tu akapandishwa tena ili kutengeneza mazingira ya kuwa Jenerali na CDF. Si ndio ujanjajanja wenyewe kuleta siasa jeshini. Wenye akili wanajua, Mwakibolwa ndio alikuwa anastahili. Jeshi halitaki siasa wala ukabila.mngony nishakuambia 2015 Hata nionyeshe hao wengine lini walipandishwa kuwa major general mpaka kuwa cdf
Mwamunyange alitokea Cheo gani, na mkunda alitokea cheo gani kabla ya kuwa cdf na walihudumu kwa miaka mingapi kabla ya kuwa cdf!?Kwa hiyo ndani ya mwaka tu akapandishwa tena ili kutengeneza mazingira ya kuwa Jenerali na CDF. Si ndio ujanjajanja wenyewe kuleta siasa jeshini. Wenye akili wanajua, Mwakibolwa ndio alikuwa anastahili. Jeshi halitaki siasa wala ukabila.
Kikwete alipompandisha kuwa major general aliwekwa pia kama chief of millitary intelligence(mkuu wa intelligensia jeshini) kipindi ambacho yupo na mgogoro na kagame, kikwete pia alimbeba!?Kwa hiyo ndani ya mwaka tu akapandishwa tena ili kutengeneza mazingira ya kuwa Jenerali na CDF. Si ndio ujanjajanja wenyewe kuleta siasa jeshini. Wenye akili wanajua, Mwakibolwa ndio alikuwa anastahili. Jeshi halitaki siasa wala ukabila.
Nitakusaidia, Mkunda mpaka 2021 alikuwa brigedia sasa hicho cheo cha major general na luten general amekipata lini na alikaa miaka mingapi mpaka kuwa CDF,Kwa hiyo ndani ya mwaka tu akapandishwa tena ili kutengeneza mazingira ya kuwa Jenerali na CDF. Si ndio ujanjajanja wenyewe kuleta siasa jeshini. Wenye akili wanajua, Mwakibolwa ndio alikuwa anastahili. Jeshi halitaki siasa wala ukabila.
Changamoto kubwa ya watu wa mitandaoni huwa mnadandia tu habari mnayoisikia bila kujua hiyo ni trusted resource au hearsay, na 90% ya habari hizo statics zinaonyesha huwa za uongo. Ndio maana ukiulizwa raja vyeo vyao hao wengine kabla ya kuwa ma CDF unaishia kubweka tuKwa hiyo ndani ya mwaka tu akapandishwa tena ili kutengeneza mazingira ya kuwa Jenerali na CDF. Si ndio ujanjajanja wenyewe kuleta siasa jeshini. Wenye akili wanajua, Mwakibolwa ndio alikuwa anastahili. Jeshi halitaki siasa wala ukabila.
Kwa hiyo ndani ya mwaka tu akapandishwa tena ili kutengeneza mazingira ya kuwa Jenerali na CDF. Si ndio ujanjajanja wenyewe kuleta siasa jeshini. Wenye akili wanajua, Mwakibolwa ndio alikuwa anastahili. Jeshi halitaki siasa wala ukabila.
Baada ya hapo nipe conclusion nano amebebwa kwa kuanzia hao watatu mkunda, mabeyo na mwamnyange ambao ndio currently, mabeyo hakuruka cheo chochote na ni cheo kimoja tu amekaa mda mfupi, mkunda na mwamunyange kuna vyeo wamerukaKwa hiyo ndani ya mwaka tu akapandishwa tena ili kutengeneza mazingira ya kuwa Jenerali na CDF. Si ndio ujanjajanja wenyewe kuleta siasa jeshini. Wenye akili wanajua, Mwakibolwa ndio alikuwa anastahili. Jeshi halitaki siasa wala ukabila.
Kingine mabeyo mtu wa millitary intelligence kwao low profile ni kawaida na mwamunyange Toma JKT , mkumda toka ofisi ya millitary training Kati ya hizo short profile za hao watatu, nikimteua mabeyo kuwa CDF ni kumbebaKwa hiyo ndani ya mwaka tu akapandishwa tena ili kutengeneza mazingira ya kuwa Jenerali na CDF. Si ndio ujanjajanja wenyewe kuleta siasa jeshini. Wenye akili wanajua, Mwakibolwa ndio alikuwa anastahili. Jeshi halitaki siasa wala ukabila.
Na kingine we tabla lasa kupanda cheo hata viwili kwa siku Mona jeshini ni sawa sio ajabu, fuatilia medical doctors(MD) na marubani huwa wakimaliza mafunzo yao wanapandaje vyeo.Kwa hiyo ndani ya mwaka tu akapandishwa tena ili kutengeneza mazingira ya kuwa Jenerali na CDF. Si ndio ujanjajanja wenyewe kuleta siasa jeshini. Wenye akili wanajua, Mwakibolwa ndio alikuwa anastahili. Jeshi halitaki siasa wala ukabila.
Na kama hujui Vita yeyote inapigwana na millitary intelligence hawa jeshini wanaitwa wachora ramani ya Vita watu kama mzee wetu mwakibolwa anapokea ramani utapiga hapa utatoka utaenda kupiga pale kutoka kwa watu wa millitary intelligence sema wewe zumbu kuku tabla lasa kichwa panzi huwezi kuelewa hivyo vitu unasubiri matango pori ya mitandaoniKwa hiyo ndani ya mwaka tu akapandishwa tena ili kutengeneza mazingira ya kuwa Jenerali na CDF. Si ndio ujanjajanja wenyewe kuleta siasa jeshini. Wenye akili wanajua, Mwakibolwa ndio alikuwa anastahili. Jeshi halitaki siasa wala ukabila.
Unajitahidi sana kutetea ila inaeleweka siasa haifai jeshiniNa kama hujui Vita yeyote inapigwana na millitary intelligence hawa jeshini wanaitwa wachora ramani ya Vita watu kama mzee wetu mwakibolwa anapokea ramani utapiga hapa utatoka utaenda kupiga pale kutoka kwa watu wa millitary intelligence sema wewe zumbu kuku tabla lasa kichwa panzi huwezi kuelewa hivyo vitu unasubiri matango pori ya mitandaoni
Sawa sawa mtaalamu.Na kama hujui Vita yeyote inapigwana na millitary intelligence hawa jeshini wanaitwa wachora ramani ya Vita watu kama mzee wetu mwakibolwa anapokea ramani utapiga hapa utatoka utaenda kupiga pale kutoka kwa watu wa millitary intelligence sema wewe zumbu kuku tabla lasa kichwa panzi huwezi kuelewa hivyo vitu unasubiri matango pori ya mitandaoni
Mkunda 2021 alikuwa brigedia 2022 akawa CDF mbona hujasema alibebwa!?Unajitahidi sana kutetea ila inaeleweka siasa haifai jeshini
Huna hoja, endelea kuchukua matango pori ya mitandaoniSawa sawa mtaalamu.
Vipi wakakinukishe kule kwenu? Maana yule tolu wenu anajidai jeuriMkuu wa Majeshi unatakiwa uwe na Sura za Kazi Kazi hasa kama za Marehemu Jenerali Musuguri, CDF Mstaafu Jenerali Mabeyo na huyu wa sasa Jenerali Mkunda. Mkuu wa Majeshi kamwe hupaswi kuwa na Sura laini laini ambazo zinachochea Kutabasamu na Kuchekacheka bali zinatakiwa ziwe Sura Ngumu na za Kazi tupu ili hata Adui akiziona tu ajue kuwa Shughuli anayo kwa JWTZ.
Ulale mahali pema peponi Babu yangu wa Kizanaki uliyenipenda tokea nikiwa Mtoto mdogo. Tutakukumbuka daima.