Nikki Mbishi aamua kuacha Muziki Rasmi

Nikki Mbishi aamua kuacha Muziki Rasmi

snipa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
4,437
Reaction score
2,043
10885476_687299381388776_2867742044290213144_n.jpg
 
Aliacha sugu mwenye album 10 akarudi tena sembuse huyo mbisha ambaye hana hata album moja.
 
Nikki ni kati ya wasanii wachache sana ambao wanajua kama alivyo.huyu jamaa anajua mziki sijaona.ila ufirauni unaofanywa na hawa wanajiita godfather wa bongo music ndo wanofanya kipaji chake kionekane sawa na wanaojiita wasanii huku hawajui lolote.tutakosa radha ya muziki aliotuzoesha kama kweli ameacha.
 
Bado mantiki ipo pale pale,aliacha sugu mwenye album kumi na akarudi sembuse mbishi mwenye album moja?

Nazani unachokizungumzia hukielewi..
Kutengeneza album ni uamuzi wa msanii na anajua yeye ataiuza vipi..
Ukichukua nyimbo za mbishi zote unaweza tengeneza album zaidi ata ya kumi na moja...
Labda uzungumzie swala lingine ila sio wingi wa nyimbo.. Mbishi ana nyimbo nyingi sana.
 
Hv inakuwaje sku hizi mziki unakuwa mgumu kiasi hiki.Lakini kwangu mimi naona maproducer skuhiz hamna. Na wanamziki wengi ni watoto wa mama. Zile feeling za kitaa hatuzipati. Enzi za Daz nundaz(barua). Yan mziki ulokuwa unagusa uhalisia wa kitaani kabisa. Sku hzi bire tu.
 
Hv mnataka kusema Enrico,Master j,Fm studio na Mika mwamba,na maproducer wengine wawe serious kufanya kweli bongo fleva hairudi kweli? Zamani ilikuwa msanii anaweza hats asirap vizuri lakini beat ya producer inamtoa kimasomaso.Wengi waliamini kwamba haijalishi msanii yukoje lakini enzi hizo ukitoka kupitia mkono wa P funk lazma u heat.
 
After play boy swahiba angu Nikki Mbishi hajafanya joint ambayo ina kila kitu(beats,lyrics,style n flow) uku kwingine alikua ana panic sana mfn sauti ya jogoo ilikua na message tight ila mdundo na flow hapana.
Wishin' him ol the best kwenye kila anachoenda kufanya baada kuacha muziki though kukimbia harakati ni sehemu ya uwoga ambao sipendi kuusikia kabisa maana kaka zake wangekua wepesi kusanda asingekuta misingi hii iliopo.
 
kuna nyimbo moja pia kuna sauti ya gurumo nayo pia alizingua
 
Inauma sana kusikia mkali wa hip hop anaacha mziki.Hii yote inasababishwa na MABABILONI wachache wanaodai wanapenda mziki lakini hawaujui mziki.Wanafanya kila mbinu kuua HARDCORE hiphop.Please NIKKI usiache MZIKI kwani mziki ni MAISHA.....DO IT FOR LOVE..
 
Back
Top Bottom