Umekurupuka mkuu.
Nikki Mbishi album - Sauti ya Jogoo
Bado mantiki ipo pale pale,aliacha sugu mwenye album kumi na akarudi sembuse mbishi mwenye album moja?
After play boy swahiba angu Nikki Mbishi hajafanya joint ambayo ina kila kitu(beats,lyrics,style n flow) uku kwingine alikua ana panic sana mfn sauti ya jogoo ilikua na message tight ila mdundo na flow hapana.
Wishin' him ol the best kwenye kila anachoenda kufanya baada kuacha muziki though kukimbia harakati ni sehemu ya uwoga ambao sipendi kuusikia kabisa maana kaka zake wangekua wepesi kusanda asingekuta misingi hii iliopo.