Nikki Mbishi aamua kuacha Muziki Rasmi

Nilichokiona humu watu wanajifanya wanajua Hip-Hop na wanashindwa kabisa kutofautisha kati ya Rapper na Mcee..

Namaliza kwakusema.

Kikwete akihamia Chadema, kamwe CCM hatutoikataa..
Slaa akihamia CCM kamwe Chadema hatutoikataa.

Shekhe akila kitimoto Uislamu hatutoukataa !
Padre akibaka kamwe Ukrsisto hatutoukataa !

Lakini wenye akili fupi wanalazimisha watu wakatae Vyama vyao na Dini zao kisa viongozi wameenda kinyume na maadali.

snipa
 
Last edited by a moderator:

I Salute u dude
 
Last edited by a moderator:
Bora aache kwani mziki wake haukui uko palepale..baadhi ya fans wake wanamtia ujinga na kujiona bonge la mwanamuziki na kuwavimbia hata kaka zake. .huyu hajaacha mziki ila mziki umemuacha yeye

nna mashaka how skilled u ar on hiphop calture mzik anaoufanya nikk probably ni tofaut sana na watu unaowapenda wewe
 
Unaelewa nini kuhusu *underground Emcees*???
 
Unaelewa nini kuhusu *underground Emcees*???

mosdef????? smh, eti mosdef.. anhaa umeniuliza naelewa nin, apparently sielwlewi chochote kuusu underground mc'z lakn i can differentiate btn underground n broke mainstream rappers..
 
mosdef????? smh, eti mosdef.. anhaa umeniuliza naelewa nin, apparently sielwlewi chochote kuusu underground mc'z lakn i can differentiate btn underground n broke mainstream rappers..

unawezaje kutofautisha kati ya Underground Emcees na Broke mainstream rappers, wakat umesema huelewi chochote kuhusu *Underground Emcees*???
 
unawezaje kutofautisha kati ya Underground Emcees na Broke mainstream rappers, wakat umesema huelewi chochote kuhusu *Underground Emcees*???

Ngoja nkuulize kitu, rakim, common, mosdef, cannibus, talib kweli.. hao ni underground??? yani naomba majibu ya yes na no, na vimaelezo kidogo sana, usianze kunielezea mambo sjui shangazi sjui imepanda ikashuka
 
The industry akamuuliza DMX siri ya muziki....uliomfanya loone wa badboys kukimbilia dubai na kuacha muziki....wapi tupac oops king of pop...ni huo muziki wamfanya eminem kupata usingizi baada ya kujidunga dawa za usingizi....naanza kuelewa sasa kumbe bongo the industry imeanza kazi...

Heri ameona na walio kaa kimya ni wengi na kuumia kimyakimyaa

Check
http://www.youtube.com/watch?v=xUn2V4Y_PEc

Na pia soma hapa http://atruthsoldier.com/2013/03/03...ndustry-exposed-full-length-re-uploaded-2012/
 
You are right display name.....the industry DMX has spoke about a lot of things,eminem alianza kutumia madawa coz alitaka kuacha music wakamlazimisha ndo akawachana kwenye Recovery
 
You are right display name.....the industry DMX has spoke about a lot of things,eminem alianza kutumia madawa coz alitaka kuacha music wakamlazimisha ndo akawachana kwenye Recovery

Muziki unamengi sana watu bado hawafahamu...
 
mgumu_wa_ara MosDef kwa kuwasaidia tu, underground mc ni wale rappers wanaofanya muziki wa ghetto...beat ngumu,lyrics za kibabe na shule, chorus kavu yani hiphop ambayo haijakaa kwa ajili ya kuuza ipo kimtaa zaidi.

Ndio maana common ana tuzo but still anafahamika km underground hiphop mcee, Kendric pia yupo kwenye hii orodha ya underground mcs. Wenyewe wakitoboa wanasema wapo kwenye mainstream ya underground.

kwa hapa bongo mtu kama Fid anafanya underground, JCB, Darasa, Wakazi n.k
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nkuulize kitu, rakim, common, mosdef, cannibus, talib kweli.. hao ni underground??? yani naomba majibu ya yes na no, na vimaelezo kidogo sana, usianze kunielezea mambo sjui shangazi sjui imepanda ikashuka

Yes they do underground
The QN is why do u knw about underground?
 
unawezaje kutofautisha kati ya Underground Emcees na Broke mainstream rappers, wakat umesema huelewi chochote kuhusu *Underground Emcees*???

Duuu we jamaa kama mos def kweli aiseee
I love your mind
Hawa watu makelele mengi wakat hawqjui chochote kuhusu underground
 
Darasa?
Damn dude
There is no mainstream ya underground dude please
Underground is underground haimaanish umetoboa au hujatoboa u see that's the problem most of u guys have
Little knowledge about hiphop
 
Last edited by a moderator:
Enheee sasa umekuja nlipokua napataka..
kwanza kabisa nakujibu navyoelwa undgrnd na mainstream, mainstream emceez ni wale mceez wanaopata kuskika sana kwenye media na undergrnd ni wale wasiopata media attention kubwa..
nakuja sasa kukuuliza kuusu nikki mbishi, tukichukulia mfano wa emceez wa mbele kina mos def, krs one, common hawanganganii hiyo media attention na kuclaim kuacha mziki?? iweje huyu wack kama ni undergrnd kwanin anganganie media attention na pale anapoona hapati promo na kadhalika kwanin aseme anaacha mziki.. mbna mnakua mmefungwa mawazo, nnacho taka kusema kuusu nikki mbishi ni kwamba alkua kati ya mainstream mc'z kipindi anatoa nyimbo za kueleweka lakini baada ya yeye kutokua creative na kadhalika ndo chanzo cha yeye kutopata airtime kwenye media.. he is a broke mainstream rapper
 
gwijimimi acha kuzingua ebu tueleze unachojua wewe kuhusu underground hiphop...Hujui chochote kuhusu hiphop mtoto mdogo tu wewe na watamaduni wenzio.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…