Nikki Mbishi aamua kuacha Muziki Rasmi

Chie.. sasa we apo nimeongea na wewe? nmereply jamaa alichouliza, sansana labda nkuambie umesoma kitu kisichokuusu.. afu nmeandika kama alivokua akijibu maswali kule

Kuna kitu kisichomuhusu MTU humu?au ulitaka usifiwe?
 
Ts obvious
Hata ukimuuliza maana ya. Uwack am pretty sure hajui
Anyway ndo much knw walivyo

Jana nmepitia thread yote...nlichoona ni niggaz wanajifanya wanajua sana HIP-HOP wakat hawana hata clue na maana au misingi yote ya HIP-HOP..

Kuna much know mmoja hapo juu anakwambia kuna Fake Emcees na Real Emcees, asa kutakuwaje na FAKE EMCEES wakat tayari mtu ameshakuwa recognized kama EMCEE???
*maana ya EMCEE ni kubwa sana*

Unapozungumzia EMCEEING unakuwa unaangalia vitu vitatu MUHIMU
1. Rhyme scheme
2. Delivery
3. Word play

RAPPING inazalisha RAPPERS na EMCEEING inazalisha EMCEES (thats the difference)

Katika kitabu cha Stic.man yule mnyamwez wa DEAD PREZZ alisema ""A rapper is to an emcee what an average street fighter is to a trained martial artist. They are both fighters but the degree and depth of their skill is very different."
 

Kaka kuna sehem nimeongea vitu viwili
1st always wasioelewa hutuniasha vifua kama bata mzinga
2nd nimewauliza wanabisha wanajua hata unandishi Wa mashairi ya hiphop ukoje au wanashan kurap turn basi unakua Mc?
Nimeweka hadi link wajifunze lakini am sure no one followed them u know y because of greed and ego they think they knew much but kiuhalisia they know nothing that's y wanahisi hawawez kulearn tena
Ukiwauliza tofauti ya mainstream na underground wanakuambia hawapigi kwa media nikawauliza kwani Nikki mbishi hapigwi kwenye media?mbn bado ni mfumo handaki(underground)wakaleta taarab zao
Pia kuna link ya immortal technics anaongelea mainstream inaitwa message and the money is why real Nikki mbish does hakuna aliyefuatilia n yet wanakazana kubisha sa sijui wanabisha nn
Mi nachoweza kusema ni kwamba listerning is the best way to learn
Kama wana akili wanaweza kujifunza kitu kwenye hz comment otherwise waache wafe na umaskin wao Wa fikra
 
nasikia game nowadays gumu especially watu wa hiphop, huyo fid muziki wenyewe haumpi mafanikio, wanachofanya ni kupiga issue zingine kwa kutumia umaarufu wao. mf izzo ana saloons, mafuka ya nguo, ana nguo zake zote anaziuza kwa kutumia jina lake, ila muziki kama muziki, maybe wakina diamond
 

I sense ur feelings. Ila ukifatilia comments zangu kuna sehemu nimekuambia unaweza poteza nguvu, jitihada hadi maarifa kumpa mtu shule kumbe mind yake isharemaa. Na ujuavyo kumrudisha mremavu katika hali yake ya kawaida huitaji nguvu ya Mungu tu.
Unategemea nini mtu ka gugoo leo neno hip hop akakalili vya kukalili mwisho wasiku lazima awe kama yule shabiki wa mpira katika tangazo la Coke cola.
 

Ni kweli kaka
Nashukuru kwa ushauri mkui
 
Nyakati za mashaka hizi....
Jamaa aliua sana kwenye hii track alisema almost yote ambayo ningependa sema ndani ya verse tatu
Ni kati ya track nazoweza sikiliza nika replay all day long nikiwa free..
 

sasa we usichokielewa ni kipi jamaa kukwammbia kuwa kuna real&fake mc au unabisha tu.hapa bongo kuna fake mc kibao wala hawahitaji hata mdau wa hip hop kuwajua.ila cha ajabu daily wanajitangaza kuwa wao ni mc wakali na baaadhi ya media zinawataja kama mc.sasa mdau kulieleza hilo ndo unajifanya kuicriticize hoja yake aonekane yupo ama nini.
 
kama n kurup.. ANARAP SANAA,
ni mc gan bongo anayefikia uwezo wa nikki mbish?

JIBU N HAKUNAAAA
namkubal knoma...
 
Nikki mbishi ni balaa.......................
 
Snipa ushawahi kaa marekani mini,naona unagonga sana ngeli
 
Hahaa!!!! Amalinze mkongwe
 
Hivi Kilinge bado kipo????
 
Kwani alikuwa mwanamuziki au alibahatika tuu kuongea kwa kutumia beat
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…