warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Licha ya kuwa Salama Jabir ni kati ya watangazaji wachache wenye mvuto na waledi kwenye career yake hiyo, Msanii wa hip hop, Nikki mbishi, amemvaa Mtangazi huyo mwenye hulka ya ki tomboy na kumwambia kuwa vipindi vyake karibia vyote huwa anawahoji wasanii ambao ni washkaji zake, akatolea mfano baadhi ya vipindi ambavyo alikuwa anawahoji wasanii wale wale ....
Ila nadhani Hata mimi nimegundua hiki kitu, Salama ana wasanii wake ambao huwa anapenda sana kufanya nao enterview mara kwa mara ambao mara nyingi ni washkaji Zake pia, kitu ambacho kinafanya wasanii wengine wakose kung’aa kwenye vipindi vyake vya Tv.
Wasanii kama akina Idris, Lulu, Mwana Fa, Fid q, wema , Irene uwoya, barnaba na baadhi ya mastaa