Nikki Mbishi fans special thread

sergio 5

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Posts
9,405
Reaction score
10,637
Oi yeah.
Kama heading inavyojieleza huu ni Uzi special kwa mashabiki wa MC bora kutoka bongo Nikki mbishi

King of freestyle East Africa
Ambae anatambulika kwa umahili wake anapokuwa ameshika kipaza[emoji441]

Yeah.naomba tukutane hapa mashabiki wa huyu msanii na kwa ambao hawamfahamu ni msanii pekee anaongoza kwa kuwa na album nyingi bongo na albamu zake zinakwenda kwa majina yafuatayo
1.SAUTI YA JOGOO
2.MALCOM XI
3.UFUNUO WA UNJU
Sio pekee nilizozitaja ila zipo nyingne ambazo sijazitaja

Na hii ndyo top five ya ngoma zake nazozikubali kama shabiki yake namba 1
1.nyakati za mashaka
2.Sauti ya jogok
3.wako wapi?
4.play boy
5.where my crown at
Naomba kuwasilisha kwenu

Babubomba,Dr unju, Baba malcom,
 
Iko wazi Unju niko real sana still kama Dre Tangu bysser anaitwa Lil summer.... unju kwenye Beat ni Massuker naua sana malafa wa hiphop ni mahaba niue Maua sama....
Unaweza cheka hahahaha/
Mfalume anataka apelekewe lalalala/
Dr unju
 
simuhitaji wema sepetu shigongo amgeuze bongo fever,
namuhitaji demu mwenye akili zaidi ya condoleezza rice
 
 
Ngoja nikukumbushe hiki kisa/Cha wema sepetu na Idrisa/Kabla Ommy haja zuiwa Ibiza/I see my self sometimes I see jesus/ nawaona Malaya tu I see divaz

Damn!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…