Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mistari haina vina,wala mizani/Sibishana na machoko mkuu Nikki jangiri huniviki / bangiri sina jamaa wala rafiki mm sio Nikki wa pili
Sitaki battle na ma mc wachovu/mistari haina vina,wala mizani/
umeshindwa vita,eti unajifanya hubishani/
unashuka thamani..sergio we mtoto wa pwani,worldboss in tha house nakuficha kizani/
naku_click kama button/Sitaki battle na ma mc wachovu/
Wasiofikia hata roho ya uwezo wa Jizi mabovu/
Kwanini unasema Nikki mbishi ni real MC's?Siku zote real MC's hawawi na mafanikio makubwa kiuchumi. Hebu mlinganishe Future na mtu kama Royce da 59. Au hata akina Drek na mtu kama Nas.
Nikki Mbishi is a hell of a talent. Na siku zote, lazima uwe smart upstairs ili uwaelewe watu kama Nikki, One, Sterio, Nash MC and the like!
Kama unaubongo mwepesi lazima uone ka niwazinguaji.
- KANA -
Fanya kama unapambanua kwa undani zaidi mkuuSababu anajua
Ha ha ha kitambo sijaona uandishi mbovu kama huu eti naku click kama buttonnaku_click kama button/
usiku nightmares nakutisha kama satan/
worldboss mi kigogo kwa rap naanzisha zogo nachezesha fake mcees visingeli mpaka tupogo/
Mashabiki wa nandy bhanaHa ha ha kitambo sijaona uandishi mbovu kama huu eti naku click kama button
Ndo yaleyale sijui nini "George anarudi bush"
Ha ha ha kitambo sijaona uandishi mbovu kama huu eti naku click kama button
Ndo yaleyale sijui nini "George anarudi bush"